Paul Chagonja: Ni kawaida kwa timu ilioshindwa...

Hata mimi nilisikia tamko lake yule, akili zake ziko makalioni.

Mpumbavu sana yule!

Kwanini lakini wanatuchokoza hivi siku tukichoka hii nchi haitakalika naomba tu ICC wawe wanaangalia hivi viashiria vidogo vidogo vinavyotupeleka kwenye machafuko
 
Natamani aendelee kuwepo kibaruani wakati serikali itakapo change hands baada ya October 25. Halafu anapigwa kibuti cha uhakika! Refarii ambaye ni mchezaji wa 12 wa timu ya CCM!
 
Nilikua na mzee mmoja wa kama miaka 60 ameshangaa sana kauli hiyo kutoka kwa IGP,aliulizwa kuhusu malalamiko ya jeshi la polisi kumzuia lowasa asiende hospitali na Samia suluhu kuruhusiwa kutembelea hospitali ndio akatoa majibu hayo!
Mzee akauliza mbona swali la msingi halijajibiwa?Double standards za jeshi la polisi!
 
Yes he has the problems and he need to to take the annually leave before the general election and I walys say that pls don't double job to be a wife and be husband and the Best things stand as wife or husband in your family
 
Huyu Chagonja si ndio yule mwny tuhuma zq kulihujumu jeshi la police na aliesema hatambui uteuzi wa IGP Ernest Mangu???

Huyu si ni yule mwny tuhuma za kutuma majambazi wapore silaha vituo vyq police ili ionekakane Mangu hafai???
 
Kusingizia refa anapendelea haya maneno ameyasema alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu jeshi la polisi kumzuia kipenzi cha wengi mgombea urais kupitia Ukawa Lwegainani Lowassa kuzuiwa kufanya ziara zake.
Anamaanisha nini kusema Ukawa ni timu Ilioshindwa ilihali hata October 25 bado?

Source:ITV HABARI

Chagonja toka ahukose U IGP ni sheedah! Hivi alijibu hoja za Lema?
 
Vyombo vya Dola kuingilia kazi za vyama vya siasa ni hatari sana.

CHAGONJA Aliposema kuwa UKAWA ni timu inayoshidwa ilhali UKAWA Inafanyiwa hujuma za hapa na pale, amedhalilisha sana serikali, CCM na vyombo vya dola! Bora angekaa kimya kuliko kuonyesha mahaba yale wazi wazi hivi!
Kuanzia sasa wananchi tunaotaka mabadiliko tuko tayari kwa lolote!! Hata kama ni VITA vya kisiasa!!
 
Tayari keshajiandikisha kwenye orodha ya kupelekwa ICC, anatangaza matokeo kabla ya uchaguzi ilhali yeye ni mtu kutoka chombo cha dola. Likizuka tu baada ya uchaguzi asimsubiri Fatou, aongoze mwenyeeeewe na magwanda yake.
 
Back
Top Bottom