Paul Chagonja CP achimba biti la kifisadi

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
177
Hivi hawa polisi wamejaa ujinga kiasi gani? Sitaki kuamini kuwa Mkurugenzi wa Mafunzo wa Jeshi la Polisi na yeye ni kama IGP Mwema na wauaji wengine walioleta madhara Arusha.

Eti anasema "hasa nyie CHADEMA muache fujo na muache kuwahamasisha anachama wenu kuleta fujo,sheria iko hai na tutawathibiti""

Hee INA MAANA SISI TULIFANYA FUJO TUKAUAWA?AU HAWA NAO WAMEFIKIA MWISHO
 
Force always attracts men of low morality.
inabidi viongozi wa chadema waitishe mkutano na waandishi wa habari wampe somo huyu tumbotumbo maana yeye ndo ameamka usingizini. Huwezishangaa kesho kiongozi ,wingine akatoka na kuomba msamaha juu ya maneno ya huyu tumbotimno maana sasa hivi kila aliye na kitambi ananyuka tu na kuongea kama anajiharishia maana serikali haijulikani ni nani mkubwa sasa hivi. Huenda hata hajui kama wameshajipaka mavi yaleyale tena kule mbeya. Mimi nataka kukubaliana kwamba wanalipiza kisaso kwa vijana ambao ndo maadui wa ccm. Inabidi serikali kama inaripiza kosasa kwa vijana kutokana na kutowachagua .kama ndivyo basi itangazwe vita kati ya vijana na jeshi la polisi tuone nano atashinda. wananchi walikuwa wanapinga matumizi mabaya ya barabara kama alivyoagiza waziri wa ujenzi. Kama wananachi wengine hawaruhusiwi kupitisha magari yaliyozidi uzito kwanini ya wadosi yaruhusiwe?
Huu no ufisadi uleule maana wadosi ndo wenye hii ncho sisi ni watumwa ndani ya nchi yetu. Lakini amini tusiamini ukpmbozi wetu ukaribu na wala hautakawia tukaze buti. Peoples powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom