Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

Umeona eehehe pamoja na kuwa na mji shinyanga ..bado hakupewa Ubunge.
Alipewa mkaazi mwana Derefa,ila pamoja na hayo kwa nini Mlingwa walimpa japokuwa hakuwa Mkazi?hii issue yenu ya ukaazi haina maana,leteni hoja mnataka kuifanyia nini Shinyanga?
 
Mkuu,

Kati ya watu wachache makamanda huwa nakuheshimu sana.

Soma vizuri uelewe hoja.

Mwaka 2010, kamanda Marehemu Shilembi na sie wana Chadema, tulikuwa tunajinadi kuwa Masele si mzawa wa hata kaja kuufanya ubunge ni kama take away.

Leo tutasemaje kwa Katambi?

Hebu tuache mzaha kwenye mambo serious.

Abaki kuwa ni mwenyekiti BaVicha

Mkuu Parfect,

Kwanza asante kwa heshima yako kwa michango yangu hapa jukwaani. Bila shaka hata kwa huu mchango wangu hapa heshima yako inahusika, Tuko pamoja.

Pili ondoa shaka hoja nimeisoma na kuelewa nimekuelewa na ndiomaana nimekujibu, kwa hilo ondoa hofu..!!!

Katika vyama yenye watu makini wa kupiga propaganda na kujibu, Chadema hakuna mfanowe..! Wanachadema watakujibu kadiri utakavyoleta hoja yako, iwe ni upuuzi au hoja makini. Na ndiomaana Chadema ipo hapa ilipo leo kama siyo umakini wa kupangilia na kupangua propaganda hakika tungekuwa tunaongea mengine. Kwahiyo hii uliyokujanayo leo ni propaganda na inajibiwa kipropaganda, be carefully usipokuwa makini kuinadi itakubabua..!!! Huu ndo utamu wa kuwa mwanachadema unakuwa huru kujibu chochote, yeyote bila kujari ni nani. Kwa hili najisifu waziwazi...!!!!!!

Unasema leo tatasemaje kwa Katambi?

Naam tutasema Katambi gombea kama unania na umeona unaweza kutatua kilichowashinda watangulizi wako. Gombea nafasi yoyote bila kujari ni ipi alimradi unakidhi sifa na vigezo husika, Tutasema gombea wananchi ndiowatakupima kama kweli una nia hiyo au unataka kujinufaisha. Ni hayo tu ya kusema kwa Katambi na kwa mgombea yeyote mwingine toka UKAWA au Chadema. Tukitoka hapo ndipo'sa tutaanza kuvurumisha kila aina ya Kampeni ikiwemo propaganda za hapa na pale lakini kamwe si kwa kumbagua mtu iwe kwa imani yake au eneo lake analotoka. Tena hao wanaogombea Sambamba na mgombea wetu wajiandae sawasawa wakiwadhaifu kujibu propaganda watababuliwa...!!!!!

Halafu tambua mkuu hakuna ambaye yupo hapa akiwa si serious, Sote tupo hapa kutoa maoni yetu. Ni vipi tusiwe serious kwakuwa tunatofautiana na mtizamo wako? Tafakari hilo mwenyewe..!!

Katambi atandelea kuwa Mkiti Bavicha, na kama katiba ya Chama na Nchi havimzuii kuwa Mbunge au Rais then let it be...!! Mbowe pale ni Mwenyekiti wa Chama taifa, ni Mbunge wa Hai via Cdm, ni Mkiti wa Kambi ya upinzani Bungeni (KUB) Umewahi kuhoji juu ya vyeo vyake hivyo? Vipi iwe haramu kwa Patrobas Katambi? Au kwasababu anamnyima usingizi mgombea wako ambaye yuko mfukoni mwako au wewe mwenyewe?

Jitafakari kaka.

BACK TANGANYIKA
 
Halafu Chadema mmedhihirisha ujinga wenu,inakuwanje mnapinga public kabisa wenyewe kwa wenyewe,subirini wajumbe wataamua wanamtaka nani agombee ili aikomboe na kuitetea shytown ambayo imekuwa ikiongonzwa na wabunge wabovu wabovu tu.
 
NOOOO....Huyu sio chadema....hujathibitisha kama ni mwanachedema kweli...kama ni chadema basi hana ethics za chadema...Ondoeni hofu..kila kitu kipo vizuri...
 
Mi nawashauri Chadema andaeni pambano la ngumi, Mshindi ndio apewe nafasi ya kugombea
 
Patrobass katambi ndiye Mbunge mtarajiwa wa Shinyanga...kama mnamwogopa baada ya kutangaza nia...shauri yenu...katambi kwao ni shinyanga na baba yake ni Dr. hapa na wamejenga nyumba hapa na ni msukuma....halafu..kumbuka mijini hakuna cha mzawa..sijui wewe ni wa wapi? acha ujinga wako mkuu wa kutuingiza huko..
Funguka katamba yupi? wa Ndala,au yule MC,Au yupi funguka Mkuu tumjue huyu katamba
 
Alipewa mkaazi mwana Derefa,ila pamoja na hayo kwa nini Mlingwa walimpa japokuwa hakuwa Mkazi?hii issue yenu ya ukaazi haina maana,leteni hoja mnataka kuifanyia nini Shinyanga?
Vic ni jambo gumu kumuelimisha raia wa kawaida toka ndembezi au upongoji kuwa mgombea ni mkazi wa Dar..da iko kazi kuwaelewa.
 
mtoto wa chifu naona mkuu wa Bavicha ameshakutisha rudi shimoni kwenye kokoto haaahaaa ukaoshe tu
 
Hii habari ya kuanza kuzuia watu kwa kigezo cha uzawa mnaitoa wapi? Tabia hizi ni za kiccm pure, Katambi kama kajipima na kuona anatosha kugombea huko Shinyanga, wewe unapakachuka hapa unadhani waweza kumkwamisha? Nenda kapeleke hoja zako hizi kwenye Kamati tendaji za jimbo/ Wilaya ili angalau uonekane unahoja yenye mantiki. Jukwaa hili si jukwaa.la Cdm hofu zako peleka Lumumba

Watakao mkataa Katambi ni wajumbe rasmi wa Kamati tendaji wanaoingia kwenye mkutano wa kuchagua Mgombea Ubunge kupitia Cdm, kama wewe ni mjumbe nenda huko kapeleke hoja zako kama zinamantiki zitapita na Patrobas atapigwa chini, Vinginevyo Ziba Pakacha lako hapa Wacha wenye nia ya kuwakwamua wananchi wafanye hivyo alaah,!!!!

BACK TANGANYIKA
Aisee Mkuu tunaomba tumjue Huyu Katamba anaishi wapi,anafanya kazi gani kwa sasa,ameshiriki vipi Maendeleo au anajua vipi Mkoa wa Shinyanga?
Hawa kina Katamba wako wengi ndo maana nauliza ni yupi huyu anaegombea?wapo wazee na vijana kina Katamba,unamzungumzia yupi Kamanda?
 
Ni yule mfanyakazi wa Diallo.
 
Wasalam Jamvini,

Kamanda Patrobas Katambi, nakuomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini mara moja.

Kamanda, unafahamu kuwa wewe si mzawa wa hapa Shinyanga Mjini. Na kwamba turufu hii tuliitumia kama CHADEMA dhidi ya Masele na kusababisha ushindi kwetu.

Kamanda, unafahamu huna ndugu wala jamii yako hapa mjini unag'ag'ania. Kamanda Masele /Nkurunziza.

Kamanda, unafahamu jimbo la Kahama walikukatalia live, ambako kuna ndugu zako, umefika wilayani hapa na mbunga wamekukubalia kutia nia.

Kamanda, unafahamu ulivyoanzisha mtandao wa kimakundi CHADEMA wilayani hadi kata.

Kamanda, unafahamu wanashinyanga walivyo na misimamo. Juu ya uzawa wameonewa kwa miaka zaidi ya 10.

Kamanda, unafahamu kwana watia nia zaidi ya 10 wenye sifa ila umekomalia kisa ni kiongozi wa kitaifa utapata tu.

Kamanda, unajua ulikataliwa na walimu siku ya seminar yao. Ukimwakilisha Rechal Mashishanga ulizomewa kwa maneno yako kwao. (Ulimi hauna mfupa)

Kamanda unafahamu. Uongozi makao makuu unakubeba, hata mkutano wa hadhara juzi juzi NKMZ Salum Mwalimu alikubeba na kuwaacha watia nia wengine.

Kamanda ni hivi, kujenga CHADEMA si lazma uwe ni Mbunge, mbona una Cheo kizuri kukitumikia chama, BAVICHA TAIFA.

Jipime! usikibomoe chama kwa tamaa zako Kamanda.

Ukweli MCHUNGU wewe si MZAWA wa hapa.

Am always PERFECT.

Ndugu mjumbe tambua kla mtanzania anayo haki ya kisheria na katiba kugombea jimbo lolote alitakalo ndani ya tanzania ila najua ukawa awatoweza kushinda hapo
 
Wewe PERFECT kajipangeni upya,kwa taarifa yenu Pasi alizaliwa kolandoto hospital,kasoma kolandoto shule ya msingi,baadae baba yake akahamishiwa mkula Hospital Magu,baadae wakarudi tena Shinyanga,Pas ni mzaliwa wa wilaya ya shinyanga mjini upo hapo?issue ya uzawa mmefeli mpaka hapo,Kwanza unamtetea Rachel Mashishanga mtu mwenyewe ana power bank anaishi kwa kupunguza charge za power bank tu,afterall Rachel hafai kuwa mbunge maana hana mipango endelevu ya kuifanya shy town iwe juuu
VICTORIE...Sina interest na Kundi lolote,
please inaonekana wewe unamfahamu huyo mgombea,Katambi,please unaweza kunijuza ni nani,anafanya nini kwa sasa,na anaifahamu vipi Shy,au atleast binafsi nahitaji,nina Hamu kumjua,kwasababu kina katambi wapo wengi sana Shy,wapo Ndala,wengine ni MC,Wengine ni wazee flani na shughuli zao,sasa ni yupi huyo?
 
Mkuu Parfect,

Kwanza asante kwa heshima yako kwa michango yangu hapa jukwaani. Bila shaka hata kwa huu mchango wangu hapa heshima yako inahusika, Tuko pamoja.

Pili ondoa shaka hoja nimeisoma na kuelewa nimekuelewa na ndiomaana nimekujibu, kwa hilo ondoa hofu..!!!

Katika vyama yenye watu makini wa kupiga propaganda na kujibu, Chadema hakuna mfanowe..! Wanachadema watakujibu kadiri utakavyoleta hoja yako, iwe ni upuuzi au hoja makini. Na ndiomaana Chadema ipo hapa ilipo leo kama siyo umakini wa kupangilia na kupangua propaganda hakika tungekuwa tunaongea mengine. Kwahiyo hii uliyokujanayo leo ni propaganda na inajibiwa kipropaganda, be carefully usipokuwa makini kuinadi itakubabua..!!! Huu ndo utamu wa kuwa mwanachadema unakuwa huru kujibu chochote, yeyote bila kujari ni nani. Kwa hili najisifu waziwazi...!!!!!!

Unasema leo tatasemaje kwa Katambi?

Naam tutasema Katambi gombea kama unania na umeona unaweza kutatua kilichowashinda watangulizi wako. Gombea nafasi yoyote bila kujari ni ipi alimradi unakidhi sifa na vigezo husika, Tutasema gombea wananchi ndiowatakupima kama kweli una nia hiyo au unataka kujinufaisha. Ni hayo tu ya kusema kwa Katambi na kwa mgombea yeyote mwingine toka UKAWA au Chadema. Tukitoka hapo ndipo'sa tutaanza kuvurumisha kila aina ya Kampeni ikiwemo propaganda za hapa na pale lakini kamwe si kwa kumbagua mtu iwe kwa imani yake au eneo lake analotoka. Tena hao wanaogombea Sambamba na mgombea wetu wajiandae sawasawa wakiwadhaifu kujibu propaganda watababuliwa...!!!!!

Halafu tambua mkuu hakuna ambaye yupo hapa akiwa si serious, Sote tupo hapa kutoa maoni yetu. Ni vipi tusiwe serious kwakuwa tunatofautiana na mtizamo wako? Tafakari hilo mwenyewe..!!

Katambi atandelea kuwa Mkiti Bavicha, na kama katiba ya Chama na Nchi havimzuii kuwa Mbunge au Rais then let it be...!! Mbowe pale ni Mwenyekiti wa Chama taifa, ni Mbunge wa Hai via Cdm, ni Mkiti wa Kambi ya upinzani Bungeni (KUB) Umewahi kuhoji juu ya vyeo vyake hivyo? Vipi iwe haramu kwa Patrobas Katambi? Au kwasababu anamnyima usingizi mgombea wako ambaye yuko mfukoni mwako au wewe mwenyewe?

Jitafakari kaka.

BACK TANGANYIKA

Mkuu RwB,

Mkuu, kila sehem kuna siasa zake kamanda.

Siasa za mkoa ama jimbo la shinyanga ni zaid ya ujuavyo mkuu.

Huwezi linganisha na issue ya Mbowe ama mahali ama mtu mwingine.

Naomba atuambie kwa nini Kahama walimkatalia hapo hapa CHADEMA Wilayani?

Kamanda, Mpaka sasa kaifikisha wapi BAVICHA?

Respect wa boda boda, haya mambo si ya kuyachukulia juu ama kishabiki.

Dogo tumkanye ajitambue.

Hatutaki mpasuko usio wa lazma
 
Halafu Chadema mmedhihirisha ujinga wenu,inakuwanje mnapinga public kabisa wenyewe kwa wenyewe,subirini wajumbe wataamua wanamtaka nani agombee ili aikomboe na kuitetea shytown ambayo imekuwa ikiongonzwa na wabunge wabovu wabovu tu.

Bibie Victoire heshima mbele,

Kama wewe ni Mwanachadema nakutaka utambue, Cdm himuwekei mtu cha kuzungumza public Kila mmoja anatoa maoni yake kadiri anavyojisikia, alimradi havunji sheria za Chama na Nchi. Alichokileta mleta mada kinajibiwa sawasawa na alivyokileta, maadam hakuuona umuhimu wa kupeleka kwenye vikao rasmi vya chama, atajibiwa hapahapa na majibu yatamtoshereza. Na kama alikuwa na nia ya kupima upepo kabla ya kulipeleka kwenye vikao rasmi vya chama, bila shaka atakuwa amepata alichokikusudia.

Isiwe na shaka, kamwe Kamati tendaji za chama haziwezi kuzuiwa na mambo yaliyojadiriwa hapa Jf, kila kitu kinakwenda kwa utaratibu. Kama Katambi anataka kugombea nafasi ya Ubunge anajua utaratunu wa kuufuata kamwe maneno ya Jf hayawezi kumnyima nafasi ya kugombe. Pia kamwe Kamati tendaji haiwezi kumnyima mtu nafasi ya kugombea kwa hoja zilizojengwa hapa jukwaani. Kwahiyo nokutoe shaka juu ya hiki ulichokiandika hapa, Na nikukaribishe Kambini (Cdm) kama bado hujajiunga na kamb ya wapambanaji

Karibu uufurahie uhuru wa kutoa maoni uliopo Cdm (Hakuna kitu kama hiki kwa wengine) Na pia hatupingani na Kamanda PERFECT bali tunaeleweshana, usishangae baadae kutuona tunashambulia kwa pamoja Viroboto wa Lumumba. Huu ndo utamu uliopo Cdm..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom