Patrobas asipuuzwe. Alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
"Sabodo aliwapa Chadema Tsh. Milioni 150 kuchimba visima nchi nzima, wakazitafuna, Wakapewa magari 120 ya kampeni leo hii Mtu mmoja amejimilikisha Magari yote kuwa ni yake, Walipewa msaada wa pesa za kuanzisha gazeti la Tanzania Daima, leo linamilikiwa na Mtu mmoja. Chadema kumejaa Mafisadi".

Patrobas Katambi (10/02/2018, Tandale).

Mambo haya nilianza kuyazungumza June 2017. Naamini siku moja Watanzania na Wanachadema watajua adui yao Namba moja sio CCM kwasasa bali ni Mbowe na Genge lake.

Wanaotoka kwenye Chama wanampa nafuu. Na yeye anataka watoke wote waje wapya wasiomjua. Mimi niko pamoja na wanaopambana nae ndani ya Chama.
 
Mchumia Tumbo mwingine huyu aliyeamua kutumika na chama cha wahuni. Njaa mbaya sana. Kasome waraka wa Baraza la Maaskofu nchini.

"Sabodo aliwapa Chadema Tsh. Milioni 150 kuchimba visima nchi nzima, wakazitafuna, Wakapewa magari 120 ya kampeni leo hii Mtu mmoja amejimilikisha Magari yote kuwa ni yake, Walipewa msaada wa pesa za kuanzisha gazeti la Tanzania Daima, leo linamilikiwa na Mtu mmoja. Chadema kumejaa Mafisadi".

Patrobas Katambi (10/02/2018, Tandale).

Mambo haya nilianza kuyazungumza June 2017. Naamini siku moja Watanzania na Wanachadema watajua adui yao Namba moja sio CCM kwasasa bali ni Mbowe na Genge lake.

Wanaotoka kwenye Chama wanampa nafuu. Na yeye anataka watoke wote waje wapya wasiomjua. Mimi niko pamoja na wanaopambana nae ndani ya Chama.
 
Amenena vyema for the sake of campaign. Lakini asiishie kusema tu basi aoneshe na hata ushahidi wake tuweze kuiangamiza CHADEMA Kinondoni. Lakini tuhakikishe Mawakala wa Vyama vyote wawepo na wa vyama vyote kwa mujibu wa taratibu na Sheria. Tuwashinde kihalali si kwa POLISI wala TUME kama walivyozea kusema.

Huyu Kijana ni machachari kweli!

Kakisaidia sana Chama chetu kurudisha Jimbo la Kinondoni toka kwenye Mikono ya Vyama vya kuweka na kukopa
 
Amenena vyema for the sake of campaign. Lakini asiishie kusema tu basi aoneshe na hata ushahidi wake tuweze kuiangamiza CHADEMA Kinondoni. Lakini tuhakikishe Mawakala wa Vyama vyote wawepo na wa vyama vyote kwa mujibu wa taratibu na Sheria. Tuwashinde kihalali si kwa POLISI wala TUME kama walivyozea kusema.
Zamani niliamini CCM ni wezi wa kura siku zote lakini mwaka mmoja nilibahatika kusimamia uchaguzi ambapo nilishuhudia CCM ikishinda kihalali kwenye ngome ya CHADEMA! Zaidi ya yote kilichoniboa ni mihemko ya wafuasi wa CHADEMA wakidai tumeiba kura ila namshukuru Mungu ulinzi ulikuwa umeimarishwa.
 
Katambi na wenzake walipaza sauti wakiomba ccm IWATUMIE itakavyo na itakavyoona inafaa, naamini huko waliko wanatumika ipasavyo sina shaka na hili. Kama kapuuzwa basi hana mvuto.
 
Magari 120 amejimilikisha! Hata mtoto wako uliyemzaa uwezi mwambia utumbo kama huo akakuamini...nakushaur usipoteza muda mwingi kwa mtu aliyekuzid kila kitu hapa dunian.
kosa jingine million 150 huwezi kuchimba hata visima viwili! Pia hiyo million 150 ni bei ya Ford ranger mbili za kusimamia ujenzi WA hivyo visima akajipange upya huyu dogo
 
Hapo sjaona hasara bora Sana tena Sana kulko kupewa pesa na maCCM aliempa kiroho safi kakaa kimya afu wewe unaenusa ndio unabetua pua tutakutia maji uvute vzr
 
Back
Top Bottom