Patrick Trans na Nanga Boy ni akina nani kwenye biashara ya daladala Dar?

Ushasema Nanga boy,Nanga ni neno linalotumika zaidi jeshini..kwa sie tuliopitia pitia kozi za kijeshi tunaelewa.
So possibly hizo daladala zilizoandikwa Nanga boy zitakua ni za mtu flani ambae either ni mwanajeshi,police au mwingine yeyote aliyeko kwenye tasnia ya ulinzi na usalama.
 
Believe me Nanga Boy au Patrick ni mtu yuleyule huyo ambaye alianza na Hiace 1 ya Segerea Mnazi Mmoja miaka ya 2004 hakuwa na chochote cha kutisha. Kikubwa ni nidhamu yake ya kazi, ni jamaa fulani hivi Mpemba/Mtu wa Pwani.
Hayo ya kuwatwisha Viongozi au Maaskari wenye vyeo vyao Jeshini umiliki wa hayo magari ni kutaka kumpa taabu yule jamaa mmiliki, hakuna kitu hapo.
 
Kuna mzee mmoja alikuwa meja wa jeshi, alikuwa na hiace miaka hiyo imendikwa MR PROMISE,

Kuna siku traffic aliandikia Faini, Basi alilipa yeye traffic hiyo Faini, kitambo kidogo
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Katawala Ruti ya Segerea Kawe

Ruti za Mawasiliano Kunduchi

Jamaa nasikia ni mkubwa fulani.

Kila mwezi ingizo jipya mjini

Pia inasemekana kuwa huuza hayo magari ila wanao yanunua hawabadili ili wasisumbuliwe
"Huo mstari wa mwisho umeeleweka"
 
Back
Top Bottom