Patrick Ole Sosopi akihutubia Kamati ya Utendaji ya Bavicha Taifa

I love Ole Sosopi! Wamasai bwana ni kama Wapemba wana msimamo sana siyo kama wenzangu na miye hata kidogo! Keep it up young man. At least you are doing something positive not just making nonsensical comments like others here!
 
Makene ratiba akitoa Ratiba za shughuli na mikutano ya Chama
  • 18.12.2019 Mkutano mkuu wa chama Chadema kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti taifa.
  • 17.12.2019 Baraza Kuu kuandaa agenda za mkutano mkuu
  • 16.12.2019 Kamati Kuu Chadema kuketi kuteua wagomea wa ngazi kitaifa.

 
Back
Top Bottom