Patrick Oita Nyapara: Askari Polisi aliyemtandika mpenzi wake Risasi 47

Kwani kumsomesha mtu ndio kumuoa? Mambo mengine wanaume muwe waelewa.

Mkuu hadi unaamua kumsomesha mtu means mmekubaliana kuishi pamoja hapo baadae, hakuna mtu anasomesha bila hilo wazo otherwise awe ndugu yako au umeamua kumsaidia.

so Dhamira ya kumsomesha ndio inaleta hayo na Wanawake hawajawahi kuwa na shukrani kwenye hilo. 96% lazima wawakatae waliowasomesha hata kama tayari wapo kwenye ndoa
 
hujauliza kuwa walikubalianaje?
pia hakuna hisani isiyorejesha, jamaa alitaka marejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hadi unaamua kumsomesha mtu means mmekubaliana kuishi pamoja hapo baadae, hakuna mtu anasomesha bila hilo wazo otherwise awe ndugu yako au umeamua kumsaidia.

so Dhamira ya kumsomesha ndio inaleta hayo na Wanawake hawajawahi kuwa na shukrani kwenye hilo. 96% lazima wawakatae waliowasomesha hata kama tayari wapo kwenye ndoa
With time mambo hubadilika, hata walooana huachana sembuse wachumba tu?
 
With time mambo hubadilika, hata walooana huachana sembuse wachumba tu?

Mkuu uchungu wa kuachwa na unayemsomesha na kuwekeza nguvu zako hauelezeki, wahusika pekee ndio wanaujua

Don't try this, Thank me later
 
Mkuu uchungu wa kuachwa na unayemsomesha na kuwekeza nguvu zako hauelezeki, wahusika pekee ndio wanaujua

Don't try this, Thank me later
Mnaumizwa na mangapi na maisha lazima yaendelee?
Hesabu hiyo ni sadaka, shukuru then songa mbele.

BTW msikate tamaa jamani, mtusomeshe tu.
 
Haya mambo ya kusomesha mademu nishakataa kitambo. Soma kwa hela yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikoma , kuna demu alipt 4 ya 26. Akawa kakata tamaa, nikampa ushauri we, mpk akaelewa, bdae nkamfnyia mpngo wa chuo, akachaguliwa diploma in community development. Hela nkamsaidia pia ili akamilishe registration after one week akanmbia kila mmj abaki na njia zake. Tangu siku hyo nikaapa mwanamke wa kuheshimu na kujali ni Mama yng tu.Mungu si Athuman kamesoma kamefka mwk wa pili wazazi wameshindwa ada, kameamua kuwa kakibarua kwenye reli za waturuki mpk ada ije itimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom