wewe angalia main content hayo mengine achana nayo
hapakuwa na namna, aende kwa malaika wenye hadhi yakeKafanya vyema sana maana hakukua na njia nyingine ya heshima zaidi ya hiyo
mzazi labda hakuwa na uwezoKaingilia majukumu ambayo sio yake huyo jamaa,,
Wakusomesha ni mzazi,,
Sent using Jamii Forums mobile app
hujauliza kuwa walikubalianaje?Nayeye jela maisha.
Kwani kumsomesha mtu ndio kumuoa? Mambo mengine wanaume muwe waelewa.
Ni rahis kuongea ila omba yasikukute ....nmeshashuhudia mdada kakatwa mapangaNature.
Kwani kumsomesha mtu ndio kumuoa? Mambo mengine wanaume muwe waelewa.
hujauliza kuwa walikubalianaje?
pia hakuna hisani isiyorejesha, jamaa alitaka marejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
With time mambo hubadilika, hata walooana huachana sembuse wachumba tu?Mkuu hadi unaamua kumsomesha mtu means mmekubaliana kuishi pamoja hapo baadae, hakuna mtu anasomesha bila hilo wazo otherwise awe ndugu yako au umeamua kumsaidia.
so Dhamira ya kumsomesha ndio inaleta hayo na Wanawake hawajawahi kuwa na shukrani kwenye hilo. 96% lazima wawakatae waliowasomesha hata kama tayari wapo kwenye ndoa
Roho mbaya hiyo, unamkata mwenzio mapanga ulimuumba?Ni rahis kuongea ila omba yasikukute ....nmeshashuhudia mdada kakatwa mapanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya hiyo, unamkata mwenzio mapanga ulimuumba?
With time mambo hubadilika, hata walooana huachana sembuse wachumba tu?
Mnaumizwa na mangapi na maisha lazima yaendelee?Mkuu uchungu wa kuachwa na unayemsomesha na kuwekeza nguvu zako hauelezeki, wahusika pekee ndio wanaujua
Don't try this, Thank me later
Sasa unafikiri alimsomesha bila makubaliano ya kuishi nae!! kwanza unaambiwa alikuwa akiishi nae akaamua kumsomesha baada ya kumsomesha ndio analeta usenge kwanini nisimshootNayeye jela maisha.
Kwani kumsomesha mtu ndio kumuoa? Mambo mengine wanaume muwe waelewa.
Angeukataa msaada huo mapema.Nayeye jela maisha.
Kwani kumsomesha mtu ndio kumuoa? Mambo mengine wanaume muwe waelewa.
Sasa unafikiri alimsomesha bila makubaliano ya kuishi nae!! kwanza unaambiwa alikuwa akiishi nae akaamua kumsomesha baada ya kumsomesha ndio analeta usenge kwanini nisimshoot
Sent using Jamii Forums mobile app
Makubaliano yanaweza kubadilika wakati wowote.
Mimi nilikoma , kuna demu alipt 4 ya 26. Akawa kakata tamaa, nikampa ushauri we, mpk akaelewa, bdae nkamfnyia mpngo wa chuo, akachaguliwa diploma in community development. Hela nkamsaidia pia ili akamilishe registration after one week akanmbia kila mmj abaki na njia zake. Tangu siku hyo nikaapa mwanamke wa kuheshimu na kujali ni Mama yng tu.Mungu si Athuman kamesoma kamefka mwk wa pili wazazi wameshindwa ada, kameamua kuwa kakibarua kwenye reli za waturuki mpk ada ije itimieHaya mambo ya kusomesha mademu nishakataa kitambo. Soma kwa hela yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
AhahahhahaahahKuna mtu alisema anahitaji mwanamke mwenye kalio kubwa tu, mengine watatumia akili yake jamaa!.. Aliona mbali.
Na hii ndo inatakiwa heshima iwepoWanaume wote tungekuwa na roho kama ya poti wanawake wangetuheshimu sana