Patrick Oita Nyapara: Askari Polisi aliyemtandika mpenzi wake Risasi 47

Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.

Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha.

Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake.

"Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine.

Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha.

Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe. Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo kama yeye.

Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.

Nini maoni yako kwa Patrick Oita? Na Je ungekuwa wewe ungefanyaje?

View attachment 1072075

Cc Zero IQ
Mtu humtaki vyake unakula vya nini? Marehemu aliyataka mwenyewe sio kwa dharau waliyomfanyia jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena, bora ule mzinga wa siku moja lakn sio kwa kulelewa hivo halafu unaleta za kuleta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaa nimemdharau saaaaana. Hivi kutumia RISASI 47 zoooote alikua hajui wapi anaweza kupata mabomu hata manne?!??

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Sawa
%E2%80%AA%2B255%20654%20685%20272%E2%80%AC%2020161110_105429.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayesomeshwa anaanzaje kukataa wakati hana uezo wa kujisomesha? Mwenye shida msomeshaji, vinginevyo ajiandae na matokeo, yanaweza kuwa mazuri au mabaya....
Nimekuelewa DINA kwamba huwezi kataa kusomeshwa… ila kwenye kujianda, inatakiwa mjiandae wote… YEYE AJIANDAE NA KUKATALIWA NA WEWE UJIANDAE NA RISASI 47 kinenani...
 
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.

Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha.

Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake.

"Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine.

Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha.

Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe. Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo kama yeye.

Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Nini maoni yako?
Hujamalizia story baada ya hapo yy ikawaje alijisalimisha polisi au na yy alijimimina risas, uyo mwanamke ni katili !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke ndio balaa kabisa maana akienda chuo anakutana na madogo wanamega balaaa akirudi una bahati.
Yani huko kwa mke ndo kabisa , kifupi ke ni ke tu, leo hii kipato chako ni laki mbili kwa mwezi, sasa mfungulie genge alafu genge lichangamke mwanzo mambo yatakuwa safi kipato cha genge kikichangamkatu anakuona lofa, hao viumbe ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom