Patrick Ngowi, Isaya Yunge na Benji Fernandes wameenda wapi?

Sikweli, jamaa anaamini katika vyano vingi vya pesa kitambo alishwai sema kupata Mtaji endelevu tatizo Banks zinazingua yeye kama mjasiliamari akaona Forex njia sahihi ya kumpa Mtaji endelevu wa muendelezo Biashara zake.

Kwamaana hiyo Forex anafanya kama Hustling ya kumpa mitaji, juzijuzi alipost video YouTube alisema ana account kadhaa moja wapo ni kwaajili ya Investment tu pesa anayotoa anaendelea kuwekeza kwenye Physically Business...Biashara ya kuku anaendelea nayo na hana biashara moja.

Tuwe positive at some point.
Me niko positive.

Ila nilichokiona jamaa ni kwamba bishara nyingine kaweka kapuni. Ww ndani ya mwezi unaingiza mil karibu 500. Hata kama ni ww utataka stress za nini kwenye biashara nyingine.
Mwezi uliopita nimeona kapiga kama mil 480.
Nilivyosikiliza video yake kwa umakini ndio niligundua hilo. Maana tangu mwanzo nililuwa nashangaa ni kama aliacha kupost biashara zake nyingine na hata alikuwa akipost anapost picha na video za zamani.
Alikuwa busy na TMT karibu miezi 4. Akaja akajifungia ndani miezi 6 anasema. Sasa hizo shughuli nyingine anafanya saa ngapi? Na hata kama anaendelea nazo nafikiri mkazo wake huko haupo kabisa. Kaona kuna chanzo kingine bora cha mapato. Hata kama ungekuwa ni ww.
 
Mkuu huwelewi kitu kimoja.

Jamaa kufuga ndipo alipoanzia vyovyote vile Biashara ukihitaji uwepo wake ila now iyo Biashara ishakuwa hatoitaji usimamizi wake 100℅ ikiwa hivyo itakuwa haina maana ya kukua kwa Biashara na ujue jamaa Biashara yake ni kubwa sikitoto ana Farms DSM na mwaka jana tu mwishoni kawekeza shamba la kuki Morogoro unasemaje kaacha so kaweka management humo mbali na hiyo ana Biashara nyingine kadhaa kaweka wasimamizi.

Sema jamaa anakitu kimoja akiBase na upande Fulani ana base kweli kama sasahivi yupo na YouTube channel tu na FX haina maana kaacha ishu zingine.

Iyo faida ya 450M uwezi kuipigia hivyo kuna trade anapoteza pesa nyingi pia japo kupata anapata sana ila halimfanyi kutokuwekeza.
 
Ok.
 
Sikweli, jamaa anaamini katika vyano vingi vya pesa kitambo alishwai sema kupata Mtaji endelevu tatizo Banks zinazingua yeye kama mjasiliamari akaona Forex njia sahihi ya kumpa Mtaji endelevu wa muendelezo Biashara zake.

Kwamaana hiyo Forex anafanya kama Hustling ya kumpa mitaji, juzijuzi alipost video YouTube alisema ana account kadhaa moja wapo ni kwaajili ya Investment tu pesa anayotoa anaendelea kuwekeza kwenye Physically Business...Biashara ya kuku anaendelea nayo na hana biashara moja.

Tuwe positive at some point.
utakuja kuibiwa hauta sahau
 
Uongo! Uongo mkubwa!

Kwanza kabisa kutumia Tigopesa App lazima uwe unatumia Internet yao.

Mfano umejiunga bando la Voda halaf ufungue Tigopesa App haifanyi kazi.

Kwa mpesa app sijui.
Basi wee unabisha kitu ambacho hujui, tigo pesa ukiwa wajiunga unaweka chip unaunga namba unaconfirm ukimaliza hata ukitoa chip itaendelea kufanya kazi hata utumie wifi. We huna unalojua.
Mimi ninatumia app ya tigo pesa lakini chip nimeipoteza toka feb, na niliipoteza kwakuwa siitumiag kwenye sim niliiweka kujiunga nikaitoa. Lengo lao hasa ni kwamba hata ukiwa nje uweze kufanya miamala yako. Acha ubishi wewe
Bishana na tigo sasa nimekuwekea na screenshot
1591872060391.png
 
View attachment 1474944
Mzee baba kujibishana nae huyo bora huo muda ukajichue tu upate hata faida ya bao,unapoteza muda wako hapo.
 
Back
Top Bottom