Patrick Mfugale awa Mkurugenzi mpya TANROADS

So ina maana Serikali haiwezi kumshitaki Mrema kwa kuogopa vigogo wasitajwe? Ataendelea kuficha hadi lini wakati msitu na vichaka vy kujificha vinavyekwa na CHadeMA ?

Well, hope serikali itamfikisha mahakamani ili kuondoa aibu
Huyu anapiga mzigo si sawa na fisadi Mrema (former TANROAD CEO)aliyemchimba mkwara waziri kanyaboya Kawambwa

mrema amewahi kusema nikishtakiwa kwa ufisadi nitataja vigogo wa CCM wanaochukua hela TANROADS
 
ni kitendo cha kushangaza pale magufuli akibishana na rais kuhusu chief mpya wa Tanroads na magufuli ameweka sharti kwa rais kikwete bila ya MFUGALE yeye anajiuzulu kazi
Ndugu yangu wakti mwingine punda bila kiboko haendiiiiiiiiiiiiii ! anajua kabisa nafasi hiyo atapewa ndugu yake dr. Kawambwa na makapu ya karanga, kwahiyo ili anachopanga kichwani kiende sambamba na mipango ya maendeleo ya nchi nivema pia kuwa mgumu kuwezesha kazi yako iwezekufanikiwa, kwani Kikwete Mungu?

Mbona Yakobo kwenye Biblia alimwambia malaika kama hunibariki, hapa hutoki, mapaka uniachie kitu kidogo, ilipoanza kupambanuka akambariki akasema haya nendaga bora nimepata, sasa unaogopa kumbana rais at nidhamu mbaya unaletewa mababaishaji wa kazi wanini?

Heri ukose kazi ubaki mbunge kuliko ufate upepo unakoelekea wakati makasia na motor ya kukwepa unayo wa nini?
 
Nasikia Eng. Mfugale amekulia Wizara ya Ujenzi, amewahi kuwa mkurugenzi wa Barabara vijijini kwa hiyo anaijua vizuri wizara pamoja na barabara za nchi hii.

Pia nasikia ni mtaalamu wa madaraja kwa hiyo huenda akawa ni chaguo bora kwa TANROADS.

Mwenye CV yake ya kutosha atusaidie hasa kuhusu usafi wake manake huko TANROADS nasikia unaweza kuingia msafi ukatoka na uvundo!!!
 
Naam mkuu,

Nasikia ni mteule wa Magufuli

Magufuli alipokuwa Ujenzi wakati ule wa Rais Mkapa..........alikuwa na watu wake muhimu sana.............na wote ni "vichwa".......wa kwanza kwenye list alikuwa Mar Eng. Mujungi (huyu alijiua)........wa pili ni huyu Mfugale..........Mujungi angekuwa hai............by "default" hii ingekuwa nafasi yake..............

Notwithstanding uchaguzi/uteuzi huu wa Mh Magufuli....Mfugale ni qualified for the position na ni mchapakazi..........hongera Eng. Mfugale........
 
Back
Top Bottom