TANZIA Patrick Kisembo afariki dunia

Hao wanaojazana kwenye mwendokasi na daladala na pantonj umeona wakifa na Corona?

Hao mnatuhumu kufa kwa Corona ni wazingatia masharti hawapandi na kujazana kwenye daladala wala mwendokasi wana magari yao binafsi na nafasi nzito kwenye jamiini watu wa social diistancing!!!! barakoa kama kawa na unawaji mikono kwao hawajaanza leo!!!

Mbona vifo vingi sio vya wabanana mwendo kasi na daladala na panton?

Hawa mnaosema wanakufa kwa corona sio watu rahisi kuipata sababu wengi si sehemu ya wakaa uswahilini na kwenye mirundikano

Watu wanakufa kwa maradhi yao waliyonayo ena mengine ya aibu ila sasa hivi huwezi sikia mtu kafa kwa ukimwi visingizio vyote vinapelekwa kwenye Corona ili mtu apewe kaheshima asikokuwa nako!!!! ohh kafa kwa Corona kumbe ukimwi!!!

Tuwe wakweli Corona ingekuwepo mitaani kungekuwa vilio kila kona watu wanabanana kwenye mwendokasi,daladala,panton masokoni nk
Kwahiyo korona huko tz hakuna?
 
Watu wanaondoka jamani.Kwanini wataalamu wa afya wasiachiwe kufanya kazi yao bila kuingiliwa taaruma yao? Ni ukweli usio fichika hii kitu ipo leo hii tuna msiba wa kitu hiyo hiyo hapa jirani yetu Hadi Sasa hatuwezi kwenda kumfariji sababu ya hii kitu inayo itwa nimonia kali
Kuna Mwanadamu ( Binadamu ) aliingia Mkataba na Mwenyezi Mungu kuwa ataishi Milele?

Tulimpenda sana ila Mwenyezi Mungu amempenda mno hivyo tuheshimu Kazi yake na Utaratibu wake akishirikiana na Israeli.
 
Tafadhali jiwe, Tanzania siyo makao makuu ya Mungu. Corona ipo na inaua vibaya. Serikali awamu hii imejidhihirisha kutokuwa na uwezo wa kupambana na majanga. Imebaki kuwa serikali ya kutafuta kiki za kipuuzi na mihemko ya kisiasa tu.
 
Back
Top Bottom