Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Kumbuka kuwa Corona 2020/2021 ilijeruhi sana sana utalii na hivyo kuathiri sana pia uchumi wa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara
Basi wazungu wasipo kuja huko arusha na kilimanjaro si mtakufa kwa njaa ndo mjue hamna umuhimu wowote zaidi ya utalii tu.
 
Kwenye suala na maendeleo Mwanza inakimbia kwa kasi sana, nilikua na miezi kadhaa sijafika Mwanza leo nina wiki niko Mwanza kuna mabadiliko ya kimaendeleo makubwa sana yanayo onekana kwa macho si yakufikirika kuanzia barabara, hudumaza afya na makazi. Kati ya mikoa niliyowahi kufika Mwanza ndio mkoa wananchi wake wana makazi bora sana japo yapo maeneo yenye makazi duni kama Igogo na mabatini tena nahisi hizo tu ndio sehemu zenye makazi duni.

Kwenye afya kuna zaidi ya hospital 5 za kisasa ukianzia bugando ,sekou toure, kamanga hospt aghakan, Tanzanite hospt dispensary karibu kila mtaaa clinic za madactari bigwa zipo za kutosha.

Mwanza mjini watu wako busy na kazi wizi wa kishenzi shenzi wa kuchomoleana upo kwa kiasi kidogo sana, watu wako busy na maisha .
Anyway Mwanza imekua kiuchumi.
Kinachoiendeleza Mwanza ni wazuri wa kupokea wageni na kuwaacha wawekeze kwenye viwanda na biashara.
 
We jamaa bwana ,unasikitisha Sana ..Bustan ya Eden iko Mikoa ya Kusini ..Mbeya kiujumla inaongoza kwa uzalishaji wa nafaka mseto Tzn hii Sasa sijui unataka nini kingine.Niongeze volume?
Nidhania utalii na east africa HQ ingeifanya Arusha kuwa na pato kubwa kupita mikoa mingine ukiondoa Dar!!

Hili ni la miaka mingi au kwa sababu ya Covid?
 
Basi wazungu wasipo kuja huko arusha na kilimanjaro si mtakufa kwa njaa ndo mjue hamna umuhimu wowote zaidi ya utalii tu.

Hii namna ya kufikiri ni JANGA LA TAIFA - a vivid portrayal of inferiority complex! Hivi unajua utalii unachangia asilimia ngapi ya pato la Taifa? Au umekalia kuwaza tu kwamba wafaidika ni Wameru & Wachagga ambao wanakutisha?
 
Nashangaa na mimi eti leo msukuma anavimba mbele ya Mhaya . Huwezi amini sasa hivi tunawapokea huku Bukoba wakiwa hata ndala miguuni hawana wanakimbia njaa kwao
Mimi nimeamua nikae kimya tu.

Hiv mtu unaweza linganisha uhayani na usukumani kweli

Ni mbingu na Ardhi kabisa.

Kwanza hizo takwimu zinapikwa Sana juzi tu 2019 kagera ilikuwa na 4.9 tillion Sasa imeshuka na kuwa 3.5 2020 hiv kagera kumetokea kitu gan ndan ya mwaka mmoja GDP ipungue kiasi hicho.

Hlafu hiyo ramani ina walakini sijaelewa katavi na Rukwa

Yaan takwimu za bongo bwana
 
Hii namna ya kufikiri ni JANGA LA TAIFA - a vivid portrayal of inferiority complex! Hivi unajua utalii unachangia asilimia ngapi ya pato la Taifa? Au umekalia kuwaza tu kwamba wafaidika ni Wameru & Wachagga ambao wanakutisha?
utalii ni wa serengeti tu
 
Hii namna ya kufikiri ni JANGA LA TAIFA - a vivid portrayal of inferiority complex! Hivi unajua utalii unachangia asilimia ngapi ya pato la Taifa? Au umekalia kuwaza tu kwamba wafaidika ni Wameru & Wachagga ambao wanakutisha?
Ata huo utalii unaoupigia debe we fala unatokana na mbuga gani kama sio serengeti inayopatikana wilaya ya serengeti mkoani Mara kanda ya ziwa , kakojolewe ukalale.
 
Back
Top Bottom