Pata website BURE Kabisa!

Dickie

Member
Oct 13, 2009
11
0
Hello Wanajamii,
Kama wewe upo Tanzania, sasa unaweza kupata tovuti BURE kabisa, tena tovuti ya kisasa kabisa (professional and static) itayotengenezwa kwa kujali misingi yote ya taaluma hii. Tovuti hiyo haitakuwa na Matangazo yoyote kutoka kwetu, na ukipewa inakuwa mali yako uamue kufanya nayo chochote upendavyo! Yaani wewe ni kuiendesha tu.
Pia utapatiwa Anuani yako Binafsi ya Barua pepe km jinalako@biasharayako.co.tz au jinalako@jinalakolapili.com (ama .com, .net, org n.k), ni vyema sana kufanya biashara au ujasiriamali kwa anuani rasmi za baruapepe. Anuani hizi unapewa nyingi upendavyo.

Uwe mtu binafsi, kampuni, Kikundi, Chama, shule n.k ni kwa yeyote
Kwa maelezo zaidi ili uweze kuufahamu utaratibu huu mzima wa uhakika. Tembelea www tovutiyangu DOT com ujisomee, nasi tutakufanikishia ndoto yako ya kuwa na tovuti BURE!
(Pia kama hutaki za bure zipo za kulipia pia (flash, dyamic))

Karibuni sana.
Dickie
Kitengo cha huduma kwa mteja,
Tovutiyangu DOT com
Simu: +255 652 047 033
Baruapepe: tovutibure(at)tovutiyangu.com
 
asante mkuu
 
Nimeingia huko naona tu PAY. Bei zimeandikwa ila haijulikani ni bei ya Mwezi, wiki, siku, mwaka, karne nk. Ingelikuwa vizuri mkaweka beo yenu vizuri hata zile basic. Kwa wale SAMAKI wakubwa, wao hawaulizi bei.....
 
Dickie
Dickie has no status.
Junior Member

Join Date: Tue Oct 2009
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
 
Does not sound like "bure" service

BUY A WEBSITE
TovutiYangu provides FREE WEBSITES, you just have to send us your contents and we will put it up for you the way we see it. You will then be paying for hosting only, that is it.
However,
If you have a unique design on mind and you really want it, then you can forget about our free websites and go for a this service website.
Tovutiyangu can basically handle any website project, whether it is a basic company website or a totally dynamic website with as many databases as possible, to us every project is manageable. Impossible is nothing, that is our way of saying it.
We can deliver websites at a very low cost, starting as low as Tsh 199,000 for a static/basic design with around 5 content pages. Do not worry, we could tolerate up to 10 pages, and charge you 10,000/= per additional page. Feel free to work with us, money is not we what are all about.
Flash websites start from Tsh 299,000 with, so very affordable.
Dynamic websites can be quoted for after we have heard what you have in mind, as it can be the most complex work on earth or the other easy one. But if not very complex, something around Tsh 399,000 should be fine to start with.
Here are a few steps to follow if you want a website. Make sure you fill out the form below.

SOURCE: http://www.tovutiyangu.com/buywebsite.php
 
Next
HOME
FREE WEBSITE
DOMAINS
HOSTING
BUY A WEBSITE
MANAGED WEBSITE
WEBSITE PRODUCTS
PAYMENT PLANS
SUPPORT & FORUM
ABOUT US
CONTACT US
KISWAHILI
Powered by TovutiYangu Terms Privacy Policy
 
Does not sound like "bure" service
....tumeandika ghrama zozote unazoweza kukumbana nazo na mbona ipo wazi kuwa ili uwe na tovuti hatua tatu zinahitajika:

  1. Domain Registration (usajili jina)
  2. Kuitengeneza Tovuti Yenyewe, (the designed pages)
  3. Kulipia ada za kuwa hewani (Hosting)
  4. Kuiupload website na kuhakikisha ipo sawia kila mara (Quality assurance, testing, uploading)
Tunakutengenezea tovuti yako BURE (number 2) na hii huwa ni gharama sana ukijaribu kupata huduma hii popote pale. Ila unatakiwa kuiendesha na kuiweka hewani website yako (hosting). Hivyo hosting ni kama Tsh 10,000/= tu kwa mwezi. Na tumeweka setup fee ya Tsh 49,000 itayotumika kwa gharama nyingine kama kukusajilia jina (number 1), na costs nyingine kama number 4.
Na yote yapo clear kabisa.
 
Kwa sisi Watanzania neno BURE lina maanisha gharama inakuwa sifuri(0),yaani unapewa hudma bila gharama yoyote/bila kulipa hata Sumni.....
 
sasa ulivyokuwa unasema unatoa website za bure ulitegea ukishampa mtu hiyo website ya bure aipeleke wapi, acha bana.

Sitaki kuwa mbishi ila najua projekti yoyote ya website unapoizungumzia unaongelea kuitengeneza (gari) na kuiweka hewani (mafuta), mtu yeyote anayefanya kazi ya kutengeneza huwa si jukumu lake kuiweka hewani, ndio maana tunasema TUNAKUPA TOVUTI BURE, then hizo hosting fees na domain fees huwa zipo tu aidha uchukue kwetu ya bure ama uende kwa wanaotengeneza kwa pesa, hizo costs ni palepale, ni kama mtu akisema unapewa gari bure, kisha mafuta juu yako, same applies kwednye simu za promotion, unapewa simu bure ila vocha juu yako. Nashukuru na nathamini maoni na tathmini yako
Thanks to Jamii Forum
 
....Tunakutengenezea tovuti yako BURE (number 2) na hii huwa ni gharama sana ukijaribu kupata huduma hii popote pale. Ila unatakiwa kuiendesha na kuiweka hewani website yako (hosting). Hivyo hosting ni kama Tsh 10,000/= tu kwa mwezi. Na tumeweka setup fee ya Tsh 49,000 itayotumika kwa gharama nyingine kama kukusajilia jina (number 1), na costs nyingine kama number 4.

Na yote yapo clear kabisa.

Hii garama ya 10,000 x 12 = 120,000 hosting kwa mwaka
tsh 49,000 set up fee

Jumla 162,000.

Sasa nitengenezee website lakini hosting nitakwenda kuhost sehemu nyingine ambapo nalipa hosting fee plus setup 50,000 kwa mwaka.
Au siyo kaka...
 
Back
Top Bottom