Pata viwanja na nyumba

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
391
NYUMBA NZURI, ipo Bunju umbali wa mita mia tatu kutoka Bagamoyo road, ina vyumba vinne na frame sita kwa mbele, bei ni sh. milioni 180. NYUMBA NZURI, ipo Tegeta stand, ina vyumba sita, maji na umeme, bei sh milioni 85.

VIWANJA: Mapinga, karibu kabisa na barabara yaani kinatazamana na lami, ukubwa ni mita za eneo 1150 au mita 50 urefu na upana mita 23 bei ni sh milioni 80. Kiwanja: kipo Bunju, ukubwa ni mita za eneo 1000 au urefu mita 40 na upana mita 25, bei ni sh milioni 12.

SHAMBA: Lipo Mianzini lina ukubwa wa ekari moja na lipo kilomita moja kutoka bagamoyo road, bei ni sh milioni 30. Shamba: lina ukubwa wa ekari mbili, lipo Mapinga umbali wa kilomita moja kutoka bagamoyo road, bei ni sh milioni 40.

Kwa mawasiliano: 0765 117 199, 0752 774 355, 0713 631 313,
0653 061 886, 0786 046 484, 0713 897 069
KARIBUNI.
 
madalali hawa,bei wanazopewa wanazidisha mara tano hadi kumi..usiogope viwanja na mashamba bado vina bei nzuri tu.

Ndio maana tumeweka namba za simu hapo mkuu, sisi sio madalali uchwara, ni kampuni inayofanya shughuli nyingi ikiwamo hiyo hii ya uuzaji wa wa viwanja, mashamba na nyumba.
 
kawauzie wawekezaji wa kigeni kwa hizo bei lazima utakuwa dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom