Aquaponics /ˈækwəˈpɒnɨks/ is a sustainable food production system that combines a traditional aquaculture (raising aquatic animals such as snails, fish, crayfish or prawns in tanks) with hydroponics (cultivating plants in water) in a symbiotic environment. In aquaculture, effluents accumulate in the water, increasing toxicity for the fish. This water is led to a hydroponic system where the by-products from the aquaculture are filtered out by the plants as vital nutrients, after which the cleansed water is recirculated back to the animals. The term aquaponics is a portmanteau of the terms aquaculture and hydroponic.
Aquaponic systems vary in size from small indoor or outdoor units to large commercial units, using the same technology. The systems may contain fresh or salt water, depending on the plants and animals
Thats what am abt to to do am preparing containers 4 starters i wnt do much few once am aqtd wth t i get bga tanks,tnx Chipukizi i wl chek that out
Na je wa ziwa Nyasa,nawajua kwa jina la kienyeji wanaitwa Mbasa ,wengine Mbagale,ni wakubwa kama sato na watamu sana kwa anaejua je wanaziliana wakifugwa kwenye mabwawa ya kisasa.Kwenye bwawa la kujenga kama haya yetu hawazaliani, lakini ktk bwawa la asili wanazaliana sana. Nimewakamata cat fish watoto toka ktk vidimbwi kando ya mto na nimeviweka pamoja ktk bwawa ili nione kama hawatazaliana. Hiki kibwawa kinazidi kupata uasili fulani kwa sababu sitaki kukitibua kabisa ili nione haya maneno kama ni kweli.
Kitoga wapo zaidi Morogoro, sina hakika kama generation ni moja, pia kuna samaki anaitwa Mjonga, huyu hupatikana Kilombero huko Moro pekee duniani. Tatizo hawa samaki ( kitoga, mjonga,mkunga na wengine wa asili ni) wagumu kufugika na kuzaliana. Majaribio yanaendelea juu ya samaki aitwae black basa ( spelling sijui), huyu anazaliana na growth rate ni kubwa, ni wa maji baridi, anafugwa sana Igowole Mufindi, alitokea Songea ni mtamu sana.
I have attached some materials regarding AQUAPHONIC FISH KEEPING.more still to come
wakuu habari za mida...
Ni muda mrefu nimekua na wazo la kuanzisha bwawa la kufuga samaki wa maji baridi hasa sato nje kidogo ya dar es slaam..najua soko la hawa samaki ni kubwa sana hapa mjini na supply inayotoka mwanza bado haikidhi demand iliyopo..
Kwa yeyote aliye na ujuzi au idea ya hii kitu naomba atupie mbili tatu zinazoweza kunisaidia hasa kwenye mambo yafuatayo..
natanguliza shukrani
- initial cost ya huu mradi na ukubwa wa eneo linalohitajika..
- utaalamu na mbinu katika ku-run huu mradi..
- upatikanaji wa chakula cha hawa samaki..
- species zao , growth rate yao na elimu yoyote katika ukuaji wao..
- faida inayopatikana baada ya kutoa gharama zoote hasa kwa mwaka..
naopmba kuwasilisha....
Kuna Technolojia ya Israel itakusaidia sana watafute uwe billionea unafuga kwenye matank na samaki wanaozaliwa na kukua kwa haraka ni kama muijuzaWakuu habari za mida...
Ni muda mrefu nimekua na wazo la kuanzisha bwawa la kufuga samaki wa maji baridi hasa SATO nje kidogo ya DAR ES SLAAM..Najua soko la hawa samaki ni kubwa sana hapa mjini na supply inayotoka Mwanza bado haikidhi demand iliyopo..
Kwa yeyote aliye na ujuzi au idea ya hii kitu naomba atupie mbili tatu zinazoweza kunisaidia hasa kwenye mambo yafuatayo..
Natanguliza shukrani
- Initial cost ya huu mradi na ukubwa wa eneo linalohitajika..
- Utaalamu na mbinu katika ku-run huu mradi..
- Upatikanaji wa chakula cha hawa samaki..
- Species zao , growth rate yao na elimu yoyote katika ukuaji wao..
- Faida inayopatikana baada ya kutoa gharama zoote hasa kwa mwaka..
Naopmba kuwasilisha....
Asante sana mkuu ngoja nipite pite huko nicheki cheki naweza kupata mawili matatuingia you tube mkuu kuna elimu kibao tuuu
Mkuu hiyo technology inapatikana wapi mkuu kwa hapa Tanzania au nikitafuta google nitaipata???Kuna Technolojia ya Israel itakusaidia sana watafute uwe billionea unafuga kwenye matank na samaki wanaozaliwa na kukua kwa haraka ni kama muijuza
Mkuu hiyo technology inapatikana wapi mkuu kwa hapa Tanzania au nikitafuta google nitaipata???
Mkuu ntaku-PM baadae kidogo nikutafute hewani.Naona network inanisumbua niko porini kidogo..Nashukuru sana kwa mchango na utayari wako..Inaitwa aquaphonic kwa anaetaka iona an PM ipo japa Dar
Thanks mkuu...next week naweza wachungulia maana ntakua morogoro kikazi...nafikiri hata kama hawana shamba darasa ila watanipa theory nzuri inayoweza kunisaidia...Wajaribu Sokoine university kwa ushauri,labda wanayo fish farming project,
Mkuu hiyo technology inapatikana wapi mkuu kwa hapa Tanzania au nikitafuta google nitaipata???