Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,417
- 5,441
Upo sahihi Mkuu.Sukutua maji ya uvuguvugu yenye chumvi ilikolea vibaya, 1x3,baada ya siku mbili lete mrejesho.
Upo sahihi Mkuu.Sukutua maji ya uvuguvugu yenye chumvi ilikolea vibaya, 1x3,baada ya siku mbili lete mrejesho.
Jaribu ciprofloxacine (cipro) n nzuriKiongozi,hospitali nilienda toka juzi maana ziliniletea homa kali sana ikabd Dr. alimpumzishe Wardn...nkachomwa sindano na drip juu baada ya hapo nkaambiwa ninunue hizo Pen V lkn naona hali bado japp joto limepungua
Mkuu ulienda hospital gani kwani mwenyewe zinanitesa nimetumia dozi yaan hii ni ya tatu mfululizo lakn hali bado mbaya hata kula siwezi mkuu sijajua ni wapi hiyo huduma ya surgery naweza kui access niko dsmpole, naweza sema nilimtesa mwanangu na huo ugonjwa kwa miaka miwili, nilikua nikimpa dawa za antibiotic kila baada ya wiki 2 kwakuogopa kumpeleka hospital kufanyiwa operation...
Msaada jamani mtoto wangu anasumbuliwa na mafindofindo (tonsils). Joto limepanda sana. Please mwenye kujua dawa yake anisaidie tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya haraka achome sindano.
X-pen 1MU 6hly in 24 hrs kisha akimaliza atatumia Syrup Amoxicillin 5mls tds kwa siku 5.
Sent using Jamii Forums mobile app