Pata tv zote duniani zilizoko kwenye satellite

wazee ebu gonga hapa kisha tafuta jina la bara,kisha nchi kilipo kituo utakjacho,utapata s.rate,nk ambazo utaingiza kwenye receiver yako na kupata access

byabato

mi natumia decorder za hawa wachina wa startimes...nazo ziko kwenye huo uwezekano wa kupata mi-channel kibao? mi siyo mtundu wa mamb ya kubofya/IT. naomba nielekezwe kwa urahisi zaidi namna ya kufanya.
 
Ebu wakuu mjaribu maelezo haya(tunaelimishana tu)

lakini kala ya yote inabidi ujue Names of Satellite, position, Frequency, Simbol rate, polarity and the size of dish

FOR AFRICA

INTELSAT 7/10 @ 68.5 Deg East
C BAND BEAM! and KU BAND BEAM!

Available free channels on C band: Frequency, Polarity simbol rate, and FEC

DM Digital World 3661 V 14074 -3/4
Noor TV
Aapna Des
DM News Plus World
LoveWorld
----------------------------------------------------------------------
NHK World TV 3744 H 16180 ½
----------------------------------------------------------------------
God TV Asia
Supreme Master TV
ARY Digital Asia 3864 H 19850
QTV
The Musik
ARY One World
----------------------------------------------------------------------

KBS World 3931 H 6510 ¾
YTN
----------------------------------------------------------------------
DD Bharati 4034 V 19559 ¾
DD Sports
DD India
DD News
----------------------------------------------------------------------
Al Jazeera English 4064 V 19850 7/8
B4U Movies India
B4U Music India
EWTN Africa & India
----------------------------------------------------------------------
CCTV 4 9 E and F 4084 V 9375
----------------------------------------------------------------------
Geo TV 4124 v 19850 -3/4
Geo News
Aag TV
Geo Super
----------------------------------------------------------------------
Available free channels on KU band 68.5 deg east

NTA Plus 12522 H 26657 -1/2
France 24 English
----------------------------------------------------------------------
God TV Africa 12562 H 26657 -1/2
Deya Broadcasting Network
Apostolic Oneness Network
Press TV
3ABN International
The Word Network
Supreme Master TV
Huda
----------------------------------------------------------------------

ManáSat 1 12575 V 3378 -3/4
ManáSat 2
----------------------------------------------------------------------
Tourism & Trade Channel 12682 H 26657 -1/2
Daystar TV
LoveWorld
Divine Truth
Thy Kingdom Come
Emmanuel TV
Adonai Broadcast Network
----------------------------------------------------------------------

CNBC Africa 12722 V 26657 -1/2
SABC News
International
TCT World
E TV
Hope Channel
The Spirit Word
----------------------------------------------------------------------
NSS 703 @ 57 Deg east C BAND BEAM

Available free channel on C band

VoA TV Africa 4055 R 26000 -1/2
Alhurra
VoA TV Africa
----------------------------------------------------------------------
Available free channels on KU band for South Africa

BTV (Bulgaria) 12551 V 9404 -3/4
Eurotic TV Astra
VTK
----------------------------------------------------------------------
Turksat 1C/2A @ 42 Deg East SEE THE BEAM! .
Strictly for Europe and North Africa, with analogue receivers

PAKSAT 1 @ 38 deg East C BAND BEAM only.
Available free channels on C band

VTV 1, 2, 3, 4 3411 H 13000 -3/4
----------------------------------------------------------------------
G Kaboom 3815 H 4666 -3/4
----------------------------------------------------------------------
Punjab TV 3886 H 6200 -3/4
----------------------------------------------------------------------
ARY Shopping Channel 3968 H 11481 -3/4
Fashion TV Pakistan

----------------------------------------------------------------------
Eutelsat W3A @ 7 deg East KU BEAM . only

Available free channels on KU band

TV Malagasy 10976 H 3333 -1/2
----------------------------------------------------------------------
TVP Polonia 11175 V 27500 -3/4
TVP Kultura
TVP Historia
----------------------------------------------------------------------
MBC 2 11190 H 3210 -1/2
MBC 1
----------------------------------------------------------------------

M6 Suisse 11283 V 27500 -3/4----------------------------------------------------------------------
Extra 3 11345 H 27500 -2/3
2S TV
Africable
ORTM
RTS 1
----------------------------------------------------------------------

Direct 8 12728 H 30000 -5/6
2S TV
MTA International
MSNBC Africa
RTS 1
----------------------------------------------------------------------

INTELSAT 1R @ 45 deg West C BAND BEAM only

Available free channels on this beam

CCTV 4 and F 11510 H 26693 -5/6
----------------------------------------------------------------------

NILESAT 101 @ 7 deg west KU BAND BEAM only

Up to 300 free channels are available on this satellite, which include
MBC 1, 2, 3 4,
ONE TV
MBC action and more. VIEW ALL CHANNELS HERE!

----------------------------------------------------------------------

INTELSAT 907 @ 27.5 deg west C BAND BEAM and KU BAND BEAM
Available free channels on C-band

VoA TV 1 2 3 3762 R 30491 -3/4
Alhurra
Alhurra Iraq
Alhurra Europe
----------------------------------------------------------------------
RTP Internacional Europa 3841 R 10850 3/4
RTP África
RTP Internacional Ásia/Oceânia
----------------------------------------------------------------------
NTA Plus 4060 L 5632 3/4
NTA
----------------------------------------------------------------------

NSS 7 @ 22 deg west C BAND BEAM and KU BAND BEAM
Available free channels on C band
TV 5 Monde Afrique 3650 R 27500 -3/4
----------------------------------------------------------------------

CNN International Europe 3931 L 25000 -3/4
----------------------------------------------------------------------

TVE Internacional Asia-Africa 4055 R 27500 -7/8
Canal Algérie
Almaghribya
Tele Congo
France 24 Français
France 24 English
2M Monde
----------------------------------------------------------------------

Syria Satellite Channel 4179 R 27500 -7/8
Yemen TV
Abu Dhabi TV Europe
Oman TV Satellite
Saudi Arabian TV 1
Qatar TV
Sharjah TV
Sudan TV
Jamahirya Satellite Channel
----------------------------------------------------------------------
Available channels on KU band NSS 7
LC2 International 11051 V 30000 -3/4
----------------------------------------------------------------------
Direct 8 11551 V 30000 -3/4
----------------------------------------------------------------------
STV 1 11611 V 3307 -2/3
STV 2
----------------------------------------------------------------------

Athlantic bird @ 7 deg west KU BAND BEAM
VIEW ALL CHANNEL
----------------------------------------------------------------------

EUTELSAT W4 @ 36 deg east

Available free channels
F- Men 11747 H 27500 3/4
FASHION TV
EWTN
FRANCE 24 ENGLISH
LUXE TV
MGM MOVIE
NBA
TRACE TV
BABY TV
NOLLYWOOD MOVIES
-------------------------------------------------------------------

RECOMMENDED DECODERS

All Strong decoders with Model number SRT---- are recommended

LIST OF AVAILABLE SOFTWARES FOR STRONG DECODERS

Software patch for Africa SRT
All Strong Patch software
Strong receivers update
 
Du Byabato ww ni mkweli na umetoa msaada hasa kwa hawawanaoweka madish, maana hzo code wanazitafuta na sisi hatujui pa kuzipata, hapa mjini kuna cable ya Msomali ina station 80 km tungejua hizi code mapema tusingeyatupa madish yetu,
Keep it up usikate tamaa wanaouvunjaa moyo wapo tutakaokupa BIG-UP
 
Sawa sawa hapo nimeelewa vizuri kabisa ila hapa tunafundishana na nahitaji elimu zaidi,mimi nipo Europe na mipira yangu pamoja na channel zote nazipata kupitia hotbird na astra hapo ndio kwenye signal so mfano nime move hilo dish kwenda kwenye EUTEL SAT W4 kutafuta hizo channel nyingine it means kwenye signal za hotbird na astra zitapotea sasa hapo itakuwaje???hasa nilikuwa nataka channel za hapo bongo kama ITV,EATV na nyingine zote, je kuna ujuzi wowote inabidi nifanye ili niweze kufanikiwa??nipe ushauri kidogo labda tunaweza kusaidiana hapa......
 
Tatizo letu sisi wabongo ni kutka kushusha material tunayopata/tuliyowahi kupata darasani/vyuoni kuhusu mambo fulani.

Wengi wetu hatutumii material hayo katika vitendo.Wewe umeambia kitu ,unashindwaje kujaribu,jaribu,shindwa,uliza,jibiwa ,jaribu tena,shinda ,kataa majibu ya mtoa hoja.Ndivyo tunavyotakiwa kuishi.

Ipo siku unaweza kuambia hata hyo unayedhani mama/baba yako siyo lakini kwa kuwa umezaliwa unajua hivyo utabishaaaaa weeee hadi kurusha ngumi.

Point:Wewe kama una dish lako tembelea hiyo link,tafuta channel unayoitaka,ukijua inarushwa kutoka nchi gani,ingiza s.rate zake ,freq zake nk,Ukishindwa rudi hapa JF uliza ulipokwama,kisha tusonge mbele.

"Si kila kitu kinashindikana hapa duniani na sila kitu kinawezekana hapa duniani" Tumia ujumbe huu kuendesha maisha yako.
Byabato

Mkuu humu huwa tunaeleweshana na tunahitaji sana elimu yako utupe kwa watu kama sisi sasa ukishaanza kuponda alafu ndio unatoa elimu inakuwa haijatulia mkuu....tusaidiane kama jamaa hakukupata vizuri nadhani ingekuwa simple zaidi kupinga point yake na kumwambia kwamba umeenda wrong sehemu fulani na sio kumtolea mifano ambayo haitatusaidia.......Hapa wote ni ndugu mkuu endelea kutupa darasa mpaka tufanikiwe.......
 
Du Byabato ww ni mkweli na umetoa msaada hasa kwa hawawanaoweka madish, maana hzo code wanazitafuta na sisi hatujui pa kuzipata, hapa mjini kuna cable ya Msomali ina station 80 km tungejua hizi code mapema tusingeyatupa madish yetu,

Hoja hii ni ya kweli na kuna wengine wanaliwa pea tena nyingi kwa kuambiwa wanakuja kuwekewa channel kumbe mtu anakuja kusearch channel za bure. cha muhimu kila baada ya muda watu wajenge mazingira ya kurefresh decoder zao unaweza kukuta kuna channel za bure. kwa wale watundu au wanao jua wana fanya nini au wanaolewa elewa intro kidgo ya satelite technoogy wanaweza kujaribu uachakachuaji huu.

Keep it up usikate tamaa wanaouvunjaa moyo wapo tutakaokupa BIG-UP

yap kweli akeeep na kafanya kazi nzuri up lakini kuhusu wanaomvunja moyo sijui kama ni kweli. Watanzania tuache siasa. Tusichukie kukosolewa wala tusiwachukie na kuwashangaa wale wanaohoji mambo. ukiwa na mtoto ukiona haulizi ulizi maswali au akiwa mtundu na mdadisi wa mambo wewe unamtisha tisha jua una mdumaza akili.

Usidhani wazungu wana akili kutuzidi sisi. wanachotuzidi wazungu ni kupenda na kupalilia majadiliano/ dialogue.
. Ukiona kwenye TV mtoto mdogo ana mshoot swali tena sobama au cameroon tena sio la kupangiwa..............

Wansayansi wasomi wenyewe wanatofatina na wanabishana juu ya chanzo cha ukimwi, wanabisana juu ya mwanzowa dunia. hawasemi wanavunjana moyo unless uwe ni mwanasiasa. Unless mtu hana hoja mwambie issue unayoletahaina hoja

Vile vile tunatakiwa tuache unafiki humu kwenye forum hatujuani kwa sura . Sema wewe sema zing au papizo au mtego wa noti acha uzushi wa kumvuja moyo mwenzako. Sasa kama kwenye forum unashindwa kuwa wazi ofisini je au rafiki yako akikosea utapata guts za kumwambia ? Kwa style hii tutakaa tunatafuta mchawi kati yetu wakati sisi wenyewe ndo tatizo

Wewe wakati unasema wanamvunja moyo wenzako wanataka kujua kuelimika na kuelimisha zaidi

Tujenge utamaduni wa kupenda kujadiliana, kutofautiana ,kubishana kwa hoja . na hivyo ndio tunaelimika.
 
Sawa sawa hapo nimeelewa vizuri kabisa ila hapa tunafundishana na nahitaji elimu zaidi,mimi nipo Europe na mipira yangu pamoja na channel zote nazipata kupitia hotbird na astra hapo ndio kwenye signal so mfano nime move hilo dish kwenda kwenye EUTEL SAT W4 kutafuta hizo channel nyingine it means kwenye signal za hotbird na astra zitapotea sasa hapo itakuwaje???hasa nilikuwa nataka channel za hapo bongo kama ITV,EATV na nyingine zote, je kuna ujuzi wowote inabidi nifanye ili niweze kufanikiwa??nipe ushauri kidogo labda tunaweza kusaidiana hapa......

Mkuuu mimi sio mtaalam lakini kuna kipindi nilifanya zoezi hili. Na ukifutilia post nilizoandika ni kwa uelewa mdogo na experince niliyopata wakati nataka kufanya uchakachuaji. ndio maana nilisema huwezi kupata channel za satelite zote duniani.Lakini nakiri info aliyotoa jamaa ni nzuri.Nikipta muda nitafanyia kazi tena uchakachuaji huu

Uzuri wewe Dish lako linazunguka lakini sijui uko nchi gani . Kama uko kichwani mwa dunia ( eg Norway) bado kupata baadhi ya satelite amabzo ziko kwa ajiliya huku mguuni kwa dunia inaweza kuwa shida. Labda pia kama
diameter ya dish ni kubwa kiasi .Na sijui hilo dish lina uwezo wa kuzunguka, kuinama nakuinuka katika degrees ngapi? hivi vitu vyote vinaweza kurahishaau kukwamisha wewe kupata satelite zote za dunia . inawezekna dish lakolimesetiwa kunguka kutafuta hizo satelite mbili tu.

Na vile vile kwa kuwa ulisema box lako limeunganiswa na server sidhani kama ukilengesha dish na satelite nyingie zaidi ya hizo zako litafanya kazi. kama kulengesha wenye satelite ya itesat utapata free TV lakini utapoteza channel zako . but kwa kuwa wewe mtambo wako ni automatic unarotate jaribu usiandikie mate na wino unao then utupe jibu. Ukishindwa rudisha mkao wa kwaida

Nadhani walimu wa jiografia na watunga mitaala wangekuwa wanakwenda na wakati introduction ya satelite inge chomekwa sekondary japo hata A level.
 
mhhh unafikiri ni rahisi hivyo.

ebu toa mfano wewe umepata acess ya chanell gani kutumia satelite ipi kwa kutumia maelezo yaliyo kwenye page uliyotoa.

Nijuavyo mimi kila kila sateli na channel zina kitu kama code/key. Kwa hiyo hata kama unadecoder DSTV bado utahitaki kuwa na key au algorith maalum ili uate channel zote za DSTV

  • Ukilipia Kadi yako inawekewa key hizo za kukuwezesha kuona hizo channel
  • Kama hutaki kulipia inabidi utafute software za ku scramble .
So its not as simple as u think. Unless onaongealea kupata Free channel amabzo hazina key au haziko coded.

ndo maana yake japo hujamuelewa. lakini pia kuna suala la dish direction so ni ngumu kwa mtu asiekuwa fundi au mtaalam.
 
Sawa sawa hapo nimeelewa vizuri kabisa ila hapa tunafundishana na nahitaji elimu zaidi,mimi nipo Europe na mipira yangu pamoja na channel zote nazipata kupitia hotbird na astra hapo ndio kwenye signal so mfano nime move hilo dish kwenda kwenye EUTEL SAT W4 kutafuta hizo channel nyingine it means kwenye signal za hotbird na astra zitapotea sasa hapo itakuwaje???hasa nilikuwa nataka channel za hapo bongo kama ITV,EATV na nyingine zote, je kuna ujuzi wowote inabidi nifanye ili niweze kufanikiwa??nipe ushauri kidogo labda tunaweza kusaidiana hapa......

hapo ni lazima hizo zingine uzisamehe na kupata za bongo tu. mwelekeo wa dish na utumie satelite yenye mwelekeo huo tu.
 
Du Byabato ww ni mkweli na umetoa msaada hasa kwa hawawanaoweka madish, maana hzo code wanazitafuta na sisi hatujui pa kuzipata, hapa mjini kuna cable ya Msomali ina station 80 km tungejua hizi code mapema tusingeyatupa madish yetu,
Keep it up usikate tamaa wanaouvunjaa moyo wapo tutakaokupa BIG-UP

Hapo hakuna utakachopata ila free channell, na scramble channell tu! Ambazo kwa kawaida unapo scan zinaigia automatic bila ya kuweka freq and symbol rate hamna kitu hapo.
 
ndo maana yake japo hujamuelewa. lakini pia kuna suala la dish direction so ni ngumu kwa mtu asiekuwa fundi au mtaalam.
mkuu nikweli vivile kunakitu wanaita footprint http://tinyurl.com/5son85r http://tinyurl.com/5vpymoc hii ni picha inayo onyesha coverage ya hiyo satellite je imefunika nchi yako?, inabidi nayo uangalie kwanza kabla hujaanza kupachika frq na symb rate, me naona sio rahisi hivyo kupata all satellite tv, tulisha jaribu kitambo.
 
but nadhani kuna watu watafinikiwa kupscramble vichannel vichache . itakuwa vizuri watupe feedback. lets wait
 
Nimerudi tena,nimejaribu kuhamisha dish langu kwenda kwenye EUTELSAT W4 ili niweze kupata channel za bongo ila sasa tatizo signal naona ipo 55 percent na Quality ipo 0 percent so nimejaribu kufatilia naona hii kitu sio rahisi kivile kama watu wanavyofiria sio tu kuingia kwenye receiver kuweka hizo freq na kuweza kupata channel no sio simple,

Kwanza lazima uwe na enough dish maana mimi dish langu ukubwa wake ni 80cm so nimefanya research na nimegundua kwamba nahitaji dish la 120cm ambalo litakuwa kubwa kidogo na itakuwa rahisi sana kuweza kupata hizo channel,

Pia nimejaribu kufatilia nasikia kwamba etii hizo channel hazipo kwenye hiyo satellite so sijui ni kweli au vipi nasikia hawajalipia so sipo sure tupeane ujuzi zaidi wakuu!!

Nawakilisha!!
 
hapo ni lazima hizo zingine uzisamehe na kupata za bongo tu. mwelekeo wa dish na utumie satelite yenye mwelekeo huo tu.

Thanks mkuu hapo nimekupata vizuri kabisa,ila kwa vile dish langu linatumia engine so kama nikienda huko kwenye satellite nyingine it means nitakuwa nimetoka kule kwa kawaida,so nikitaka kurudi kule nitaenda tu kwenye channel za astra mfano then dish linajirusha lenyewe kwenye ile position ya astra bila tatizo kabisa na nikitaka kwenda kuangalia channel za EUTELSAT W4 then dish litajipeleka lenyewe kwenye position ya channel za EUTELSAT....
 
Wewe ndio umewaelewesha wale wasio elewa na mimi ninavyojua huwezi kuzipata chaneli zote duniani kwa sababu kila frequence zina eneo lake yani hiyo footrint kama kwenye pas 7/10 kuna freq ambazo zinapatikana eneo la kusini mwa afrika hata hapa kwetu Tanzania freq hizo zinapatikana mikoa ya kusini tu na kwa dishi kubwa tu, kwa mfano mfano freq hii yenye channel za SABC 1, 2,3 na F24, etv nk ambayo ni 11674 SR 26652 FEC 5/6 inapatikana maeneo ya kusini mwa afrika tu pamoja na kusini mwa TZ.
 
Mathias tusaidie hatupati itv,nasikia wamebadilisha frequence,tupe msaada
 
Samahani bos byabato mbona hizo frq ni za long hebu tusaidie zilizo up to date kwa sababu wamekwishafanya marekebisho mara kibao tunaomba msaada wako
 
Back
Top Bottom