PATA SOMO: Siri ya BIASHARA....NI NINI?!!

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Knowledge za bure:

Imani + Bussiness planning + Action = Successfully Investment ni formula rahisi kama ikifuatwa na kutekelezwa

ukiongezea na hii tulio fundishwa darasa la tatu tukiwa shule ya msingi ambayo ni
Mapato - Matumizi = ziada yatakuwa mafanikio ya moja kwa moja ni inakubali katika biashara yeyote.

Kwa knowledge zaidi tembelea JigambeAds
 
Haya bana ckuzote tunajua biashara ni imani ndo yanafuata hayo mengine
 
dah kumbe tupo pamoja that y nime iweka ya kwanza kabla ya chochote!
 
Back
Top Bottom