Pata Picha Maisha ya JF yangekuwa maisha HALISI!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,333
Ukipigwa ban unaenda jela, mod ni hakimu halafu ni askari magereza.
Bujibuji ni jike, limeolewa na lina watoto tisa, kila mtoto na baba yake, ndugu kibao kutoka kila kona wanakuja kumsabahi, watoto wako confused, wakiona mwanamke yeyote wengine wanamwita anti, wengine mamdogo, mara wanaanza kubishana wao kwa wao. Ugomvi wa watoto unatokea, huyo aliyeitwa mamdogo/ shangazi akijaribu kuwaamua, wanaji mobilize na kumshambulia vikali.
JF bwana....... Much respect
 
here comes Buji buji.

nina heshimu sana bandiko zako buji. ninamjua sana ''nkem'' the man on your avatar, he exactly relate to your posts.

Hongera Buji
 
Hebu nisaidie tafsiri ya ID yako (i mean Bujibuji)..........plz count it an important request superstar wangu
 
Haha Buji...! I wonder MS MWITA25 na FF wangewachoshaje ndugu kwenda kuwaona jela!?
 
Buji umejitolea mfano kisha kama ungebaki kimfano ungetumika!!!???
 
Buji bwana lol.
Natamani siku moja wana jf. Tuonane ms na ff pia wawepo
 
Natafuta mtu anisadie kunielemisha concept ya bandiko lako, kwa mara ya kwanza sijaelewa ulichoandika Mpwa...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom