Pata nakala yako antivirus part 1 volume 2 kupitia hiii link

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
1,918
Points
1,225

Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
1,918 1,225
Nimeisikiliza part 2, niliisikiliza part 1 pia. Part 1 imesimama kuliko part 2. Naungana nanyi katika harakati za kimuziki, pamoja. Wapi Mwita25?
 

Kalila

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Messages
247
Points
0

Kalila

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2010
247 0
nimeidownload ni nzuri hasa ile miaka kumi ya fiesta eti msanii amenunua supra lol jamaa ni wabunifu sana ruge huwezi shindana na sugu na usiende mby watakuua kule chezea sugu
 

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Messages
2,102
Points
1,225

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2009
2,102 1,225
nimeidownload ni nzuri hasa ile miaka kumi ya fiesta eti msanii amenunua supra lol jamaa ni wabunifu sana ruge huwezi shindana na sugu na usiende mby watakuua kule chezea sugu
jamaa anawakumbusha kwamba wasanii hawana nssf so waelewe wanatumiwa katoilet paper then kinachofuata ....
 

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Messages
2,102
Points
1,225

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2009
2,102 1,225
Wasanii gan wapya ambao hawakuwepo vol. 1?
soggy dog , suma g, adili,.... na wanaharakati wote wa mwanzo wamechanwa sana hasahasa huyo fela na mwanafa kwa kudandia gari kwa mbele .... wanachotetea jamaa ni fact tupu sikiliza kwa makini kuwa neutral ndio utaenjoy madude .viva sugu na wanaharakati wote..
 

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,160
Points
2,000

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,160 2,000
Binafsi nimeipenda sana Vol 2 kuliko vol 1 sababu ni clean version (hakuna matusi ya nguoni saana) zaidi ya kufikisha ujumbe, huu ndo ukubwa uanamgusa mtu kwa ukweli na uwazi na nina imani hii itamchoma ruge kuliko hata ya kwanza aliyotukanwa matusi ya nguoni

Pia Vol 2 imenifanya nigundue hii vita ni kubwa sana na inakua kila siku sababu ya watu waliojoin kumponda ruge sikutegemea na sitashangaa kwenye vol 3 kusikia kina profesa jay, ladyjaydee na wengineo nao wamejoin, hadi sogy dogy, suma g, adili, dany msimamo ndani na wameonesha kufurahi na suport wanayopewa na kina juma nature, inspector haroun na wasanii wengine kibao wanampinga ruge Passively.,..
 

Kalila

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Messages
247
Points
0

Kalila

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2010
247 0
the saga continue eti kumbe mwana fa anataka kupewa ubunge wa kuteuliwa wasanii waache kulalamika wagomee nyimbo zao kupigwa watasikilizwa mbona nigeria hata wenzetu ugaanda wanadrive marange escalade ila bongo wanaendesha spacio vitz ni aibu kwamba hakuna msanii anaemiliki nyumba nzuri kwa kupitia mziki wakati wakina ruge wanakaa masaki wanadrive benzi vogue.angalia hata watangazaji wanaingiza pesa kulio wasanii. inabidi marketing managers wa makampuni makubwa wawasaidie wasanii katika malipo. wasanii wenyewe kama misukule wanaendeshwa tu sasa wakitegemea fela na ruge wawaongeze katika hicho chama feki sijui kma watafanikiwa
 

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,710
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,710 2,000
kuimba mi naona ni sawa nakumpigia yule mpambe wa mkuu wa kaya gita hapa swala ni kuwa kauzu kwenye mauzo na wasanii muache njaa za kijinga ndio mtatoka zaidi ya hapo hakuna kitu.
ishu nyingine ni kuwa wa moja ishu za ukuwadi sio poa ..
 

Forum statistics

Threads 1,391,123
Members 528,369
Posts 34,074,167