Pata mitungi ya Mihan Gas

Mi nilipewa Zawadi kwenye Arusi mtungi wa Mihan ulinisumbua kweli kupata kichwa hadi nkaubadili vp hii ya Sasa hivi Ina vichwa vyake?
 
Jaman mm naomben nipewe tofaut Kat ya Oryx na mihan gas? Ip n bora zaid?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom