Pata Milio Bomba ya CHADEMA Kwenye Simu Yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata Milio Bomba ya CHADEMA Kwenye Simu Yako

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Regia Mtema, Jul 22, 2010.

 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Chama Cha CHADEMA Kimeendelea kujiimarisha katika kila idara.Hivi Karibuni CHADEMA imezindua ring tones na caller tunes kwaajili ya kuhamasisha Watu mablimbali kuiunga mkono CHADEMA na pia kuendeleza harakati za Kina Dr Slaa kukemea uovu na vitendo vya kifisadi unaoendelea hapa nchini. Kwa wale watakaopenda kupata nyimbo hizo,njia ni rahisi sana.Fuata maelekezo yafuatayo;

  Kwanza kabisa tumetoa nyimbo tau kwa kuanzia.

  Nyimbo na 1.Yenye namba 12608 inaitwa CHADEMA Mwendo Mdundo.ni nyimbo nzuri sana
  Nyimbo na 2.Yenya Namba 12609 inaitwa Operesheni Sangara-Hii Nyimbo ilizinduliwa wakati Operesheni Sangara inaanza na inaelezea dhana ya Operesheni Sangara,ni nyimbo nzuri pia.

  Nyimbo na 3. Yenye namba 12610 inaitwa Tuimwage CCM.Nyimbo hii inaelezea jinsi gani CCM imeshindwa kutimiza hadi yake ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.Nyimbo hii pia ni nzuri vile vile.

  Kwahiyo kama unataka moja ya nyimbo hizi au zote.Fanya yafuatayo;

  1. Ingia kwenye sehemu ya kuandikia ujumbe mfupi kwenye simu yako
  2. Andika namba ya wimbo unaoutaka
  3.Tuma kwenda namba 15007 au 15050
  4.Baada ya hapo utapokea majibu ya kukubaliwa ombi lako

  Kumbuka Kila wimbo ni sh 300.

  Wish You all the Best.
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thank you kaka
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Mzipeleke hiazo nyimbo redioni, zipigwe, watu wazijue ndipo mtaweza kupata wateja wengi zaidi.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa mtindo huu tutafika!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kuona an excellent contraption by a political party kama hii. Well done Chadema!
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ccm wakikusikia una tune ya chadema inaweza kuathiri utendaji wako
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ujumbe wako ni mzuri ila zingatia na lugha fasaha ya kupeleka ujumbe. nyimbo ni wingi, na wimbo ni umoja. hivyo sema huu wimbo. au wimbo namba moja
   
 8. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ndio kiswahili cha kizazi cha Bongo Flava, wenyewe wanelewana na hawawezi kuelewa hicho kiswahili chako, hicho ni cha sisi tuliosoma Someni kwa furaha au Juma na Roza
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Radio gani wakati zote ni mawakala dhalimu wa ccm
   
 10. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mbona meseji haziendi? GS hebu check kama mitambo ipo sawa au ndo mihemko ya networki?
   
 11. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  It's not working. Nimejaribu mara mbili napata jibu "Number not in use". Rekebisha mambo!
   
 12. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #12
  Jul 22, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wakuu nilisahau kuwaambia kwa sasa ni kwa wateja wa tigo tu,mitandao mingine itakuwa tayari kuanzia jumanne..Siku zote CHADEMA tunaanzisha njia wengine wanafuata..
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,006
  Trophy Points: 280
  redio gani itazipiga? unafanya masihara nini na Mkuchika?
   
 14. N

  Ngala Senior Member

  #14
  Jul 23, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukitaka kununua wimbo tuma herufi 1,mfano b kwenda 15050.kwa orodha ya nyimbo tuma na no msaada kwenda 15050 na kujiondoa tuma neno ondoa... hicho ndo kibwagizo cha tigo mkuu na nimetuma msaada karibu saa ishapita.jaribu kutujengea mazingira mazuri tuzipate mkuu
   
 15. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2010
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ombi.
  Namba kwa ajili ya kuchangia CHADEMA kwa mtandao inahitajika.
  Asante
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  hahaha..kivipi?
   
 17. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #17
  Jul 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa Mkuu!
   
 18. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unashangaa hilo, hebu angalia kwenye vile vibao vya kampuni za simu vilivyowekwa kwenye nguzo za umeme za barabarani sasa hivi zinasomekaje? Lazima SMS zisiende tu
   
 19. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante sana Kaka
   
Loading...