Pata Mashine za aina zote kwa bei ya viwandani kwa kuagiza kutoka China, Japan, Dubai au South Africa

Aug 24, 2021
27
16
Umeshawahi kutafuta kwa mda mrefu kwa mfano mashine ya kuosha magari au mashine za kukausha dagaa. Na mashine zingine zinazohitajika sana kwa mfano mashine ya kukamua alizeti na ile ya kukamua juisi za miwa na ukakosa?

Hauitaji kujisumbua kutafuta, tupigie na utuagize tukuletee hadi mlangoni kwako.

Tunakuletea mashine yako Ikiwa ipo salama na kwa bei ya kiwandani. Bei itakayo, kuhakikishia wewe faida na wateja wako kupata bidhaa kwa bei nafuu.

Aina chache za mashine utakazoweza kutuagiza ni:
  • Mashine ya kukamua mafuta ya karanga​

  • Mashine ya kutotolesha vifaranga​

  • Mashine za kukamua asali​

  • Mashine za kufulia nguo. Ndogo/kubwa​

  • Mashine ya kukamua alizeti namba 95​

  • Mashine ya kukamua mafuta ya nazi​

  • Mashine za kisasa za kutengeneza bisi/pop corns​

  • Mashine za kutengeneza chaki​

  • Mashine za kuchonga funguo​

  • Mashine za kisasa za kupiga mbao msasa​

  • Mashine za kisasa za kutengeneza mkate​

  • Mashine za kufyatua matofali za kisasa na zilizo rahisishwa​

  • Mashine za kuchanganya rangi ya nyumba na zile la kuchanganya rangi za magari. Zipo za kisasa Zaidi ambazo we mwenyewe utazipenda​

  • Mashine za kupulizia rangi​

Na mashie zinginezo nyingi hasa kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali wa uhakika. Ni vizuri ukaulizia mashine itakayoweza kukurahisishia kazi ili uwe na maendeleo mazuri ya baadae.

Tukianza kuongelea jinsi watu wanavyo pata kipato kikubwa Zaidi kwa kupitia mashine izi.Ni kwamba kama umewahi kujiuliza sana utazipata wapi. Tena kwa kuagiza kutoka nchi za wenzetu. Na kuletewa hadi mlangoni.AA Tanch Trading ndio jibu lako.

Sisi ni kampuni tuliokita mizizi katika swala zima la usafirishaji wa bidhaa zako. Tumeamua kuwajuliasha sasa wateja wetu mnaweza mkatuagiza mashine za aina mbali mbali kutoka china. Tuwaletee kwa bei ya kiwandani.

Kwa wale wanaotaka kuchukua mashine nyingi au chache. Ni vyema mkatupigia simu mapema ili tuwahudumie. 0756 591 943

Kikubwa ni kwamba mashine izi zote zipo n ani za kisasa Zaidi. Nikimaanisha kuwa zinakurahisishia kazi Zaidi mara nyingi kulingana na ulivo zoea.

Usiogope pia kuhusu jinsi utakavo itumia. Maana tutakupa na elimu kwa ufupi ya jinsi utakavoitumia mashine yako.

Kuna wale wanaotaka kuwa na uhakika wa kujua bei kamili kwanzia ya kusafirisha hadi mzigo ufike hadi mlangoni. Jibu ni kwamba tupigie tuambie unataka mzigo kiasi gani na tutakujulisha.

Kwanzia swala la bei na la usalama wa bidhaa zako.

Tunakujali wewe kama mjasiriamali na mfanyabiashara unaehitaji maendeleo kwa kupitia mashine izi. Tutahakikisha bidhaa zako zinakufikia kwa usalama na uhakika.

AA Tanzania China Trading Company: Tunajali wateja wetu.

AGIZA KUTOKA CHINA DUBAI JAPAN NA SOUTH AFRIKA KWA BEI YA DHAHABU LEO NA AA TANCH - AA TANCH TRADING kutoka nchi za nje sasa.

Piga: 0756 591 943

Au jiunge group letu la telegram, tukuoneshe zaidi mashine mbali mbali zitakazoweza kurahisisha kazi zako wewe kama mjasiria mali.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom