Pata mashamba ya miti (laki moja na nusu kwa ekari)

Muislaam

Senior Member
Jul 29, 2013
129
43
Habari! Tukiwa tunelekea msimu wa kupanda miti. Nina Shamba nauza
-lina ukubwa wa Ekari 150.
-Lipo kijiji cha UCHINDILE mkoani IRINGA.
-Kuna Barabara inafika hadi shambani.
-Linafaa kwa miti aina ya pines au milingoti na Ufugaji.
-Vitalu ya miche vinapatikana karibu na shamba.
-Limepimwa na Lina hati..

Kwa anayehitaji Kuanzia Ekari 30 na kundelea tuwasiliane kupitia 0743071138 au PM
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom