Pata machukizo kukaa na pesa cash

Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.

Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?

Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.

Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..

Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.

Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.

Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.

Hii ni personal finance.. 101..

Good morning people...
Hivi ni matatizo yanakuja ukiwa na Pesa au ni psychology YAKO tu kuhisi kwamba kwasababu una pesa ndio matatizo yanakutokea?
 
Ndo manake hiyo mkuu.. haina haja ya kuuliza.. matajiri wengi pesa kwao sio stock concept bali ni flow concept..

Maana yake wanaitumia cash ku generate wealth in assets..

Ndo mana hao unaosema ni wadosi, wanacheza sana na benki kupata mikopo na ku create real wealth...

Kuelewa hii kitu inahitaji kufikiri vizuri.. ukiwa na akili nyepesi kama FRANCIS DA DON .. lazima utakuwa unaona chenga tu
Ok mkuu🤣🤣
 
Mtizamo si ndio huo, kwamba maisha hayana kanuni za kihisabati, au mtizamo kwako ni nini?
Bado huo ni mtizamo wako mkuu... Upo sawa kwa namna yako.

Ndo mana nikakuambia, andika uzi wako kuelezea mtizamo wako labda tutajifunza pia.

Hiyo ndo namna bora ya jamii ya ki utandawazi. Bishana kwa kujenga hoja na sio maneno mepesi
 
Bado huo ni mtizamo wako mkuu... Upo sawa kwa namna yako.

Ndo mana nikakuambia, andika uzi wako kuelezea mtizamo wako labda tutajifunza pia.

Hiyo ndo namna bora ya jamii ya ki utandawazi. Bishana kwa kujenga hoja na sio maneno mepesi
Yaani niache kuComment mtazamo wangu ndani ya mada husika niende nikaanzishe uzi mwingine? Kwahiyo kwenye mijadala mtu akiwa na mawazo tofauti na ya aliyetoa mada basi asichangie, akaanzishe uzi wake? Sasa ni maana ya majadala
 
Hamna ukwel wowote, ..haya ndo tunayaitaga ma story ya town chini ya udhamini wa Mamy baby

Shukran sana mamy baby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom