Pata mabati imara kwa bei nafuu

Feb 7, 2019
25
9
Karibu Yalin global limited tuliopo dar es salaam tabata matumbi ,tunauza mabati aina zote,square pipe na misumari kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0689008719 na WhatsApp namba 0672087564.
IMG_20190111_131259.jpeg
IMG_20190111_131203.jpeg
IMG_20190111_131212.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah milioni mbili na nusu kwa bati moja,,kwani yana bluetooth?
 
Kwani ukitaja mf.
Bati 1-12 ni tsh 1000
bati 13-50 Ni tsh 750
Bati 51-100 ni tsh 500
Bati 100+ ni tsh 250 kuna shida gani mteja ataelewa na kujipima na kulinganisha na za mtaani kwake atasave kiasi gani ili aje achukue mzigo. Kuliko kuja pm
 
Karibu Yalin global limited tuliopo dar es salaam tabata matumbi ,tunauza mabati aina zote,square pipe na misumari kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0689008719 na WhatsApp namba 0672087564.View attachment 1015723View attachment 1015724View attachment 1015725

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi bati zako kama hazitoki kampuni ya ALAF Limited basi tupa kule hazifai, ndani ya miezi michache baada ya kupaua tegemea hiyo rangi kufubaa.

nb: Sina lengo la kuharibu biashara ila hela ni ngumu kwa hiyo sipendi nione watu wanaumizwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom