Pata maarifa (sio elimu) upate kazi

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,016
2,000
Waungwana natumaini hamjambo!
Ushauri wa bure ila naomba muufanyie kazi. Watu wengi wanatafuta elimu ili iwasaidie kupata kazi; hayo ni makosa makubwa.

Unachopaswa kutafuta ni MAARIFA ili yakusaidie kupata kazi ya kufanya. Hili nimeliandika kwa ufupi ili niweze kupata mawazo kutoka kwenu ndo baadaye niweze kutoa ufafanuzi juu haya mambo mawili
A) ELIMU NI NINI
B) MAARIFA NI NINI
Kwa anayejua anaweza akaanza kutiririka!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom