Plot4Sale Pata kiwanja kwa kuanzia milioni mbili

chofachogenda

Senior Member
Oct 6, 2016
104
190
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela uliyokuwa nayo.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624
 
Mkuu huo ni uchochoro sio kiwanja
Chumba na sebule unapata vizuri kabisa lakini kama una uwezo unkatiwa 20 kwa 20 ambayo itakuwa milioni nne hata ukitaka 30 kwa 30 unapata ni wewe tu na pesa yako. Muhimu kila mtu amiliki kiwanja mjini hataacha kujenga chumba kimoja
 
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela uliyokuwa nayo.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624
mbona umeandika kama unakimbizwa, kwa hiyo kila mtu humu anapajua mbezi mzalendo, fafanua toe maelezo mazuri angalau hata mtu anapata picha ya eneo husika, umeshiindwa kupiga hata picha ukaambatanisha hapo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom