Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
Nimejaribu kutuma kwa M-PESA lakini bado nashindwa. No 3.nikibonyeza naelekezwa kujaza business No ambayo sina.No 5 naelekezwa kujaza reference no. ambayo nayo siijui.Je nitumeje ili nami nichangie nikipendacho?

Mkuu

Business No Andika 888888 na reference number andika 1234

I have just joined Tanzanite at 9:31 pm ....will send you reference number by PM

Karibu sana Mkuu.
 
Mimi sio anga yako wewe, nachangia JF kwa mapenzi yangu kwa huu mtandao na wala haina mahusiano na ajira yangu au idadi ya posts.

Mkuu HAMY-D ,

Nasika Lumumba Buku 7 Project fame ilikupatia Mchango wa TANZANITE MEMBER (Kilo Nzimaaa)
Sema Kumbe jamaa walikuwa wamekucheleweshea Buku 7 Zako za 7 Days, so ukapiga panga 70,000 na 30,000 iliyobaki ukajilipua na U gold Member.
Mkuu Mtata wewe!!!!!
 
Mi ntaendelea kuwa kwenye kundi la member wakawaida ambao tunatoa michango ya mawazo na sio fedha kwani kila siku nanunua kifurushi cha 250 toka voda na chote kinaishia JF ila siyo mbaya na sisi mkatutumia hizo sms tuepuke kuwekwa katika madaraja kwani matangazo yanayowekwa humu yanatosha kuiendesha jf na pia mnapata matangazo kwa kuwa kuna watu wengi wanatembelea mtandao huu ili kuufanya uzidi kuku nchini tz na duniani kwa ujumla ili uje kuwa km facebook au tweeter, msiwagawe member wenu in term of vipato. Samahani kama nimewakwaza

Umenena vyema sana, na umetumia hekima kubwa sana kuwasilisha haja yako ya moyoni, unastahili kupongezwa na wenye hekima kama wewe wanapaswa kufikiria mara mbilimbili juu ya hiki ulichokise, ila hawatakosekana wenye kupuuza na kukujibu kwa fedhea
 
Na kwa wale walio nje ya Tanzania? Tulipeje?

Mkuu asante kwa idea nzuri, nadhani ungeweks na payment by credit card pia ingesaidia maana hizo tgo pesa crdb & eartell ni kinyumbani zaidi.

Credit card itajumuisha na sisi wabeba mabox

na wale tuliyopo unyamwezi tunalipaje?

Mkuu Mike, vipi malipo kupitia paypal?

Ongeza njia za uchangiaji kama paypal vile manake ulizotaja ni kwa wale waliopo nyumbani pekee. Na walio nje ya nchi vipi mkuu?

Mike McKee wazo la kutumia credit card vip?



Wakuu,

Kwa Kutumia Credit Card Online.


Gold Membership Bofya hapa ---
http://bit.ly/14skftw

Tanzanite Membership Bofya hapa ---
http://bit.ly/19E6itm
 
Halafu mimi sielewi sijui ilikuwaje maana nililipa kwa NMB pesa fasta
nikapewa hadhi baada ya siku kadhaa ile hela yangu ikarudi kwenye
Account yangu kwa maana haikuchukuliwa, nikakaaa miezi kadhaa
hatimaye na ile hadhi yangu ikaondolewa na kubakiwa na Alama
nyekundu tu,

Kungekuwa na mkopo wa kuwa Gold ilibidi nikopeshwa maana kwa
sasa tunashugulikia mikorosho kwanza. NAAHIDI NITACHANGIA.
 
Mimi nimeshatuma lakini sijapata jibu lolote zaidi ya sms ya kunijulisha kuwa fedha zangu zimetumwa jamii forums. Je hii huchukua mda gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom