Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
Unajua, unaweka kwenda kibanda cha M-Pesa ukamuambia yule msimamizi akutumie hela kwenye number hiyo, Ukampa 1,000 kama gharama yake akakutumia, ukanipa receipt number nikakuwekea premium member na wala nisijue wewe ni mtu gani.

Mkuu,

Unaweza kwenda CRDB ukadiposit pesa kwenye hiyo account, jina la anaye deposit ukaweka jina lako la hapa mimi ukaniambia umeweka hiyo amount, nikacheki online nikakuwekea hiyo premium member na wala nisijue jina lako. Alafu kuhusu kupokea SMS hapo nashindwa kujua link ya wao kukujua wewe ipo wapi wakati sisi tunatumia service providers wa nje kwaajili ya hii huduma ya kutuma sms. Lakini pia unaweza ukakataa tusiwe tunakutumia ujumbe.

Mkuu Mike Mckee,

Nakushukuru sana kwa ufafanuzi wako. Hapo kwenye RED ndio nilikuwa sijaelewa. Nilidhani mtakuwa mnatumia hawa wenzetu service providers wa ndani kina Vodacom, TIGO, Airtel n.k. Mbona tungefuatiliwa kwa urahisi, wengine bado tunazipenda kucha zetu ati!!!!!!!

Tiba
 
Mkuu Mike McKee. Asante kwa maboresho, naona tutapata members wenye status za gold na blue kwa wingi kwa kiwango na huduma zinazoambatana. Nimerudi, ngoja nijitume. Tutawasiliana kwa PM.
 
Ongeza njia za uchangiaji kama paypal vile manake ulizotaja ni kwa wale waliopo nyumbani pekee. Na walio nje ya nchi vipi mkuu?
 
Kupata kwanza mikataba kwa brand ya JF ili uweze kutuma SMS kwa local service providers ni kazi sana.

Mkuu Mike McKee. Asante kwa maboresho, naona tutapata members wenye status za gold na blue kwa wingi kwa kiwango na huduma zinazoambatana. Nimerudi, ngoja nijitume. Tutawasiliana kwa PM.

Shukran sana Mkuu.

Ongeza njia za uchangiaji kama paypal vile manake ulizotaja ni kwa wale waliopo nyumbani pekee. Na walio nje ya nchi vipi mkuu?

Tunaifanyia kazi hii na muda si mrefu tutaweka hiyo njia
 
imetulia sana hii jamani tuchangie kwa wingi na kuhamasisha wengi zaidi....mimi nitalipia soon nikitulia kidogo nipo safarini.
 
Habari zenu...
Mimi ni senior member nmekua nkiweka nyuzi na kuchangia nyuz za wenzangu bila tatizo.... Baada ya kujiunga Jf imekua sehemu ya maisha yangu....
Kwa mlionitangulia naomba mnipe umuhim wa kujiunga huko gold n tanzanite member......
 
Nimejaribu kutuma kwa M-PESA lakini bado nashindwa. No 3.nikibonyeza naelekezwa kujaza business No ambayo sina.No 5 naelekezwa kujaza reference no. ambayo nayo siijui.Je nitumeje ili nami nichangie nikipendacho?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom