Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
mkuu nauliza inawezekana kuanza na gold halafu baada ya muda nikamalizia hiyo 70,000 na kuwa tanzanite?
 
Sawa mkuu, ila je ukilipia kidogo kidogo kwa mfano kila mwez 2500 ili kuwapa nafasi pia wale wasioweza kilipa 30000 kwa mara moja?
 
ok.... i guess, it is a right for me to jump in.......:tea:
I'll drop you a mail mikee:A S check_03:.:A S check_03:
 
Mkuu asante kwa idea nzuri, nadhani ungeweks na payment by credit card pia ingesaidia maana hizo tgo pesa crdb & eartell ni kinyumbani zaidi.

Credit card itajumuisha na sisi wabeba mabox

Mkuu, Hii Njia tunaifanyia kazi na tutatoa update muda si mrefu.

na wale tuliyopo unyamwezi tunalipaje?

Tunaifanyia Kazi Mkuu

Mkuu Sory, nikitumia Sim Banking ya CRDB kutuma Pesa vip inawezekana au?

Yes Inawezekana.

Mkuu Mike, vipi malipo kupitia paypal?
Tunafanyia kazi hii.

mkuu nauliza inawezekana kuanza na gold halafu baada ya muda nikamalizia hiyo 70,000 na kuwa tanzanite?

Yes, Inawezekana.

Sawa mkuu, ila je ukilipia kidogo kidogo kwa mfano kila mwez 2500 ili kuwapa nafasi pia wale wasioweza kilipa 30000 kwa mara moja?

Hapana Mkuu, Haiwezekani kwa sasa hivi.

ok.... i guess, it is a right for me to jump in.......:tea:
I'll drop you a mail mikee:A S check_03:.:A S check_03:

Nimepata Email yako Mkuu
 
Hii ni taarifa njema sana kwetu watumiaji wa jamvi hili, ahsante kwa taarifa na punde nitawaunga mkono kivitendo.

Eid Mubarak pia kwenu viongozi na mods wote wa JF.
 
Utaratibu ni mzuri ila mtakuwa hamuwatendei haki na kuwanyonya members ambao kila kukicha lazima wadrop realable information at the same time nyie mnazichukua na kuwatumia watu ili mpate fedha.

Wekeni angalau motisha kidogo hata kwa zile fedha zinazopatikana kwa njia ya matangazo kama tiGO n.k kwa wale wanaooneka kuwa active katka kutuma post zenye kuaminika kwa mda fulani kwan naamin bila wao JF is nothing
 
Mkuu Mike McKee,

Hili JF isonge mbele kuna umuhimu hawa Verified user na wale wote wanaoweka picha zao kuchangia JF.

Wengi wao wapo humu kujitangaza kisiasa na kikazi.

Cc.. chama,
Mkuu Ritz
Kwani vipi somo bado halijelewaka tu? Basi itakuwa kazi siku; tukisema tutachangie zahanati ya kijiji tutaweza kweli??
 
Last edited by a moderator:
30,000 alafu unasema tutapata sms BURE?! Hapo uBURE unakujaje?Au ni mimi ndo sijaelewa ila ni jambo jema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom