Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
Well noted Mkuu.

Lakini nashauri kwa wale ambao siyo premium members unaonaje wakawa na limit ya kupost thread kwa siku? Kuchangia mtu yeyote asiwe limited kuchangia, lakini kupost hii kitu ifikirieni kama inafaa

Hahaa!
Itasaidia sana kupost -----!

Lakini hofu yangu ni kuwa Lumumba watawalipia vijana wao hata kama ni 1 Mil.
 
Mi ntaendelea kuwa kwenye kundi la member wakawaida ambao tunatoa michango ya mawazo na sio fedha kwani kila siku nanunua kifurushi cha 250 toka voda na chote kinaishia JF ila siyo mbaya na sisi mkatutumia hizo sms tuepuke kuwekwa katika madaraja kwani matangazo yanayowekwa humu yanatosha kuiendesha jf na pia mnapata matangazo kwa kuwa kuna watu wengi wanatembelea mtandao huu ili kuufanya uzidi kuku nchini tz na duniani kwa ujumla ili uje kuwa km facebook au tweeter, msiwagawe member wenu in term of vipato. Samahani kama nimewakwaza
 
Well noted Mkuu.

Lakini nashauri kwa wale ambao siyo premium members unaonaje wakawa na limit ya kupost thread kwa siku? Kuchangia mtu yeyote asiwe limited kuchangia, lakini kupost hii kitu ifikirieni kama inafaa

Nimependa wazo lako mkuu.
 
mi ntaendelea kuwa kwenye kundi la member wakawaida ambao tunatoa michango ya mawazo na sio fedha kwani kila siku nanunua kifurushi cha 250 toka voda na chote kinaishia jf ila siyo mbaya na sisi mkatutumia hizo sms tuepuke kuwekwa katika madaraja kwani matangazo yanayowekwa humu yanatosha kuiendesha jf na pia mnapata matangazo kwa kuwa kuna watu wengi wanatembelea mtandao huu ili kuufanya uzidi kuku nchini tz na duniani kwa ujumla ili uje kuwa km facebook au tweeter, msiwagawe member wenu in term of vipato. Samahani kama nimewakwaza

mkono mtupu haulambwi.
 
Mi ntaendelea kuwa kwenye kundi la member wakawaida ambao tunatoa michango ya mawazo na sio fedha kwani kila siku nanunua kifurushi cha 250 toka voda na chote kinaishia JF ila siyo mbaya na sisi mkatutumia hizo sms tuepuke kuwekwa katika madaraja kwani matangazo yanayowekwa humu yanatosha kuiendesha jf na pia mnapata matangazo kwa kuwa kuna watu wengi wanatembelea mtandao huu ili kuufanya uzidi kuku nchini tz na duniani kwa ujumla ili uje kuwa km facebook au tweeter, msiwagawe member wenu in term of vipato. Samahani kama nimewakwaza

Mkuu, Kama matangazo yangekuwa yanakidhi uendeshaji wa JF tusingefanya hii kitu. Na usisahahu kuna kukidhi uendeshaji na pia lazima kuwepo na uwezo wa kuweza kuiendeleza JF iende mbele zaidi.

Bado tunaongea na Makampuni ya simu ili mtu aweze kuwa anakatwa salio kila anapopokea ujumbe kwa wale ambao hawawezi ku-subscribe hii ya 30,000 kwa mwaka. Kwa sasa inafanya kazi kwa mtandao wa Vodacom tuu. unatuma neno Jiunge JF kwenda 15346. Na utakuwa unakatwa tshs 150 kwa kila ujumbe. Hatuwezi kuwa tunawatumia ujumbe Bure kwasababu ni gharama kwetu.

Members hatuwagawi bado kila kitu kinapatikana hapa bure kabisa.

sasa staili hii inamaanisha hapana anonymous tena!!

Haina uhusiano wowote kwa unachokisema kwasababu hii sio kitu cha ulazima

Naomba unicheki na mimi pia through PM ili niwe Tanzanite.

Nimefanya hivo
 
na wale wanaotangaza biashara.....
kuku wa kienyeji, sijui web yangu, sijui viatu...... lile jukwaa la matangazo lingekuwa linalipiwa. kanzisha uzi kule ingekuwa mtu anapitia kwa Invisible na analipia hata kama Tshs. 5000 tu. maana matangazo ya bure yamekuwa mengi sana. na siyo siri wanafaidika sana na kuweka matangazo yao huku. mimi mwenyewe nimeshanunua bidhaa kadhaa kupitia matangazo ya huku JF

matangazo ya yamegawanyika, matangazo yale hasaa ya kibiashara yani ya kampuni fulani na bidhaa fulani inayotengnezwa na kampuni husika coccola, bakharesa n.k au inayoouza bidhaa hiyo kila siku hsc, sijui nini furnitures,

na matangazo madogo madogo ambayo yanaitwa clasfied ambayo ni mtu anauza kitu/mali chake kwa ajili ya shida tu au kupungukiwa pesa fulani na anataka auze kitu chake aongezee pesa amalize shida yake. na haya matangazo madogo / classfied ni bure kwenye site nyingi tu, mfano zoomtanzania.com, dailynews.com, ebayclasfied n.k

wengine mtu anauza modem yake sh 10,000/= alipie tangazo sh 5,000/= atapata pesa ngapi, na mwingine anauza kwa ajili ya shida tu.

kwahiyo kulipia kwa per tangazo mimi sishauri, labda mfanye mtu akiwa gold member ndio aruhusiwe kupost tangazo lolote , hii itasadia hata kuongeza ubora wa tangazo sababu gold member nadhani atazingazitia vigezo na atapost tangazo lenye details zote.

vilevile hili la kulipia tangazo tusiliangalie tu wanaofaidika kwa kuuza vitu humu yani muuzaji, pia tuangalie pia tunaofaidika yani wa wanunuzi kununua vitu ambavyo tusingeweza labda kuvipata sehemu nyingine ile. kwahiyo mwisho wa siku wote tutaathirika.
 
well noted mkuu.

Lakini nashauri kwa wale ambao siyo premium members unaonaje wakawa na limit ya kupost thread kwa siku? Kuchangia mtu yeyote asiwe limited kuchangia, lakini kupost hii kitu ifikirieni kama inafaa

ubaguzi...
 
Sawa mkuu, tutaiwania hiyo kwa sana ila tahadhari tu; tuendelee kuwa na utaratibu mzuri kwa wale wanaotuleyea habari za moto na za ukweli! Namaanisha namna ya kuwamotisha.
 
Shem, nilikuwa nataka ile ya PLATINUM, lakini nimeambiwa haipo........LOL
ha haaa, haya shem.....
ila sijui kwa nini platinum haijanibamba kama hii tanzanite.....
nadhani platinum ingependeza zaidi ingechanganywa na tanzanite angalau dot tu.
Hongera sana shem kwa kutujoin tanzanite, karibu sana
 
Mkuu asante kwa idea nzuri, nadhani ungeweks na payment by credit card pia ingesaidia maana hizo tgo pesa crdb & eartell ni kinyumbani zaidi.

Credit card itajumuisha na sisi wabeba mabox
 
Well noted Mkuu.

Lakini nashauri kwa wale ambao siyo premium members unaonaje wakawa na limit ya kupost thread kwa siku? Kuchangia mtu yeyote asiwe limited kuchangia, lakini kupost hii kitu ifikirieni kama inafaa
Mungi utamkosesha mapato hamy D
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom