Pata internet free of charge wifi

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
HAbari ya nyinyi wana jamvini, wengi tumekuwa tunatamani kupata access ya Wireless intenet , But kikwazo ni key za kuweza kuingia ili tupate access ya internet, mdogo wenu nimezama machimbo yote kwa muda nimebahatika kuja na solution ya hilo. Unatakiwa uwe na software mbili 1.Wireless Net view 2.Mac2wepkey Hatua, Switch on wireless yako kwenye laptop yako fungua wireless net view, kama upo eneo ambalo wifi ipo covered utaona orodha ya wireless hata amabzo ulikuwa hauzioni kabla ya kuwa na wireless net view. Utaona connection ambazo zipo secured na ambazo hazipo secured. Kitendo cha kuona tu connection ambayo haipo secured, pia pembeni kulia kwenye start bar utaiona right click then connect. na kwa wifi ambazo zinaomba key. usiogope unachotakiwa kufanya chagua connection ambayo signal zake zipo juu, alafu utacopy mac address yake , "hii inaonekaana kwa kutumia hiyo wireless net view i copy, hapo utafungua mac2wepkey na kupaste hiyo mac address then click go button inaku generate key za connection uliyochagua. Pata raha kama hauto elewa naomba uni call 0712504567 email wanatamani@gmail.com for attachment of this software
 
wewe wanatamani,,,tupia hizi wireless net view na Mac2wepkey kwenye JF store,then utujulishe.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Lee
Nilitaka kukupinga kwanza, but nijajaribu kabisa.. na nimetoka kapa not working.. inaweza ikaconnect yes lakini haupati any access haupewi ip, so ni kazi bure.

Kwa wanaotaka kujaribu nao pia nime attach izo tools bellow. Msije sema naongopa bure LOL!
 
alafu imekaa kama apps za android tu,kila nikisearch inaleta file formats za .apk
 
kama imekataa unafikiri itakuwa fresh kwa wengine au inategemea na security ya hizo wireless nini..
Well am not sure, lakini hii njia ya kucalculate wep key kutoka kwa mac address dah sidhani kama itawork now labda zamani, BUT ilo ni swali la kumuliza mwanzisha thread yeye alifanikiwa vp..mie nimejaribu kwa kumake a simple adhoc wireless network imegoma, na nikajaribu na connectify ikagoma pia.
 
HAbari ya nyinyi wana jamvini, wengi tumekuwa tunatamani kupata access ya Wireless intenet , But kikwazo ni key za kuweza kuingia ili tupate access ya internet, mdogo wenu nimezama machimbo yote kwa muda nimebahatika kuja na solution ya hilo. Unatakiwa uwe na software mbili 1.Wireless Net view 2.Mac2wepkey Hatua, Switch on wireless yako kwenye laptop yako fungua wireless net view, kama upo eneo ambalo wifi ipo covered utaona orodha ya wireless hata amabzo ulikuwa hauzioni kabla ya kuwa na wireless net view. Utaona connection ambazo zipo secured na ambazo hazipo secured. Kitendo cha kuona tu connection ambayo haipo secured, pia pembeni kulia kwenye start bar utaiona right click then connect. na kwa wifi ambazo zinaomba key. usiogope unachotakiwa kufanya chagua connection ambayo signal zake zipo juu, alafu utacopy mac address yake , "hii inaonekaana kwa kutumia hiyo wireless net view i copy, hapo utafungua mac2wepkey na kupaste hiyo mac address then click go button inaku generate key za connection uliyochagua. Pata raha kama hauto elewa naomba uni call 0712504567 email wanatamani@gmail.com for attachment of this software

nimefuata maelezo yako lkn imegoma maana inaoana wi fi lakini hiyo kuconnect hamna then nicopy mac inatoa error wakati inajaribu ku calculate hiyo keys. WW umefanyaje ikakubali?
 
WAKUBWA SIJAWEKA HII KITU KWA KUBIP WATU NIMEIFANYIA KAZI NA IMEFANYA KAZI NDIO MAANA NIMEIWEKA HEWANI, SINA UHAKIKA MLIOJARIBU MMETUMIA IPI NAOMBA MDOWNLOAD TOKA KATIKA HII LINK. NAKAMA HUJAELEWA NIPIGIE KUELEKEZANE. MI NAITUMIA NAINAFANYA KAZI. KAMA KWELI UKIIFUNGUA UNAZIONA WIRELESS CONNECTION ANGALIA AMBAYO KWENYE MENU YA SECUIRITY INAONYESHA NO. HAPO ISELECT ALAFU NENDA CHINI UPANDE WA ICON YA NETWORK CLICK ZINAPO TOKEA CONNECTION ZA WIFI CONNECT AUTOMATICALY ILE AMBAYO KWENYE WIRELESS NET VIEW IMEKUONYESHA NO SECURITY. KAMA INASUMBUA NAOMBA MNIPIGIE KUELEKEZANE INAFANYA KAZI BANA 0719 504567 wanatamani@gmail.com
 
WAKUBWA SIJAWEKA HII KITU KWA KUBIP WATU NIMEIFANYIA KAZI NA IMEFANYA KAZI NDIO MAANA NIMEIWEKA HEWANI, SINA UHAKIKA MLIOJARIBU MMETUMIA IPI NAOMBA MDOWNLOAD TOKA KATIKA HII LINK. NAKAMA HUJAELEWA NIPIGIE KUELEKEZANE. MI NAITUMIA NAINAFANYA KAZI. KAMA KWELI UKIIFUNGUA UNAZIONA WIRELESS CONNECTION ANGALIA AMBAYO KWENYE MENU YA SECUIRITY INAONYESHA NO. HAPO ISELECT ALAFU NENDA CHINI UPANDE WA ICON YA NETWORK CLICK ZINAPO TOKEA CONNECTION ZA WIFI CONNECT AUTOMATICALY ILE AMBAYO KWENYE WIRELESS NET VIEW IMEKUONYESHA NO SECURITY. KAMA INASUMBUA NAOMBA MNIPIGIE KUELEKEZANE INAFANYA KAZI BANA 0719 504567 wanatamani@gmail.com Claves Wi-Fi.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download - gonsolo (Highlight hii link na upaste kwenye browser yako) then enter download i unzip na win rar na jua mnajua
 
Mkuu kama sijakupata hivi umesema tutafute ile ambayo kwenye security imeandikwa no na tu connect Automatically? Sasa kama nimekuelewa una manisha tutafute wifi connections ambazo ni unsecured(hahitaji wep key) Ambapo izo connection tunaweza kuconnect bila ata ya iyo software.. na mwanzo umesema kuwa hii software ina crack na kukupa wep key kwa connection zilizo secured.. mbona haueleweki mkuu au lengo ni lipi?
 
sidhani pia kama inaweza kufanya kazi,labda kama kuna mwingine ana maujanja mengine ya kupata WPA2-psk au encryption zingine atusaidie,nalifanyia kazi hili jambo,nitarudi na feedback kutoka hapa nilipo,kuna wireless network najaribu kuhack kwa miezi sasa.ikifanikiwa nitamtumia wanatamani vocha ya tshs 2000/=.
 
Last edited by a moderator:
UPDATE:
IT IS IMPOSSIBLE.....NA KWANGU IMEGOMA,encryption ya namna hii wont do it,kuna njia nyingine ya kutumia external wi-fi adaptor ndo najua inafanya kazi,will have to read tena ili nikumbuke,lakini kwa hii ya wanatamani,its not working
 
Last edited by a moderator:
HAbari ya nyinyi wana jamvini, wengi tumekuwa tunatamani kupata access ya Wireless intenet , But kikwazo ni key za kuweza kuingia ili tupate access ya internet, mdogo wenu nimezama machimbo yote kwa muda nimebahatika kuja na solution ya hilo. Unatakiwa uwe na software mbili 1.Wireless Net view 2.Mac2wepkey Hatua, Switch on wireless yako kwenye laptop yako fungua wireless net view, kama upo eneo ambalo wifi ipo covered utaona orodha ya wireless hata amabzo ulikuwa hauzioni kabla ya kuwa na wireless net view. Utaona connection ambazo zipo secured na ambazo hazipo secured. Kitendo cha kuona tu connection ambayo haipo secured, pia pembeni kulia kwenye start bar utaiona right click then connect. na kwa wifi ambazo zinaomba key. usiogope unachotakiwa kufanya chagua connection ambayo signal zake zipo juu, alafu utacopy mac address yake , "hii inaonekaana kwa kutumia hiyo wireless net view i copy, hapo utafungua mac2wepkey na kupaste hiyo mac address then click go button inaku generate key za connection uliyochagua. Pata raha kama hauto elewa naomba uni call 0712504567 email wanatamani@gmail.com for attachment of this software
mmmmh alooooo wewe ninoma sana ngoja nakuja kwa email mimi ninayo haswaaaaa hiyoshida sababu ninakazi ya kujitolea hadi watu waje kuelewa ndio nipate ela ilasasa kwakununua internet bila faida nishida ebu nenda email
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom