Pata heshima yako bila kutumia mabavu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata heshima yako bila kutumia mabavu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SYENDEKE, May 20, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jamani kuna hii campain ya ujanyasaji wakijinsia inayo tolewa na shirika la lisilo la kiserikali la CHAMPION chini ya wizara ya maendereo ya jamii jinsia na watoto nimeiipenda sana INASEMA MWANAUME KUWA MFANO WA KUIGWA PATA HESHIMA YAKO BILA KUTUMIA MABAVU hapo wamepiga ikulu kabisa na wanaume wengi wamewagusa kwa jinsi wanavyo nyanyasa wanawake zao na watoto . Duhuuu big up
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  maendereo = maendeleo
  anyway.....

  Ni kampeni nzuri.....
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  acha kujenga hoja isio kuwa na msingi it is just a typing error wewe ndugu vipi bwana
   
 4. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni nzuri sana mana hua wengi wanapenda kutumia mabavu sana .......i dont know why?
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  siku hizi mbona hata asha ngedere wapo kibao
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sasa inaonesha ni jinsi gani ulivyobandidu kwa muke na watoto yako..
   
 7. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mke na watoto wako. Anyway good idea.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Na wewe kwa hisani yangu uache kumpiga mwenza wako! Sawa?
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kuna mianamke mingine ya kiafrica usipotumia mabavu haitakusikiliza kabisa
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hiyo kampeni imejaa ubaguzi wa kijinsia. Mbona haizungumzi chochote kwa akina mama wanaotafuta heshima kwa kutumia mabavu kwa kutubonda sisi wanaume? Hapa nilipo bado sijapona ngeu baada ya kupata kipondo kutoka kwa mai waifu wangu last week.
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii.
   
 12. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwasababu wanayo hayooooo mabavu. Au siyo??
   
Loading...