Pata habari za uchaguzi bbc swahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata habari za uchaguzi bbc swahili

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by engmtolera, Oct 27, 2010.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  HAYA WANA JAMII FORUM KWA WALE KAMA MIMI TULIOMBALI NA BONGO LAND NA TUNATAKA KUPATA HABARI ZA UCHAGUZI NDANI YA BONGO HEBU JIHABARISHE KUPITIA BBC SWAHILI(WWW.USTREAM.COM) NI KUANZIA TAREHE 27/10/2010,MPAKA SIKU YA MWISHO YA UCHAGUZI LIVE.NI MDA WOTE ASUBUHI MPAKA JIONI
  MAPINDUZIIIII DAIMA​
  MWENDAPOLE HAJIKWAI,AKIJIKWAA HAANGUKI,AKIANGUKA HAUMII,AKIUMIA NI KIDOGO TU.
  NA MIMI NI MSAFIRI KAFIRI
  HONGERA BBC:israel:​
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Lakini mbona wanaegemea CCM?
   
 3. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  BBC wanaonekana kama mapandikizi ya CCM, maana hata ukisikia coverage yao kule Zenj na wanavyopresent ukweli wao ni kimkanda-mkanda au ki-ccm ccm kiaina, au kwa sababu wanajua Kaka Tido kapewa ulaji huko?? Wanawafevor! Tuendelee ku-observe! Uwongo utajitenga!
   
 4. M

  MLENGE ISDORY New Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tume ya uchaguzi tunaomba matokeo yatangazwe mapema!
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  BBC?.....mwanzo nilijua ni chombo kilicho advanced sana (kumbe ni BBC "swahili"), hawana lolote wale!:A S angry:
   
Loading...