Pata free tv stations zaidi ya 200 free of charge!!

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Kwa wale wapenzi wa TV stations, tumia internet TV kupata free TV stations buree, iNGIA google, Type TVU, ITAKULETEA download TVU software. Download then run, furahia ulimwengu wa digitali. Ni cheap, kwa 20 kB UNAWEZA kuangalia TV 24 hrs.Ila kwa wale wenye ipod,iphone, na ipad utalipia small amount kupata apps from itunes stores. Full of movies, sports, news, cartoons, life styles, networks , sciences, etc. Enjoy your day
 
20kb unatizama tv 24 hrs? this can't be true, kwamba nikiwa na mb zangu 400 za airtel ambazo ni 2500 naweza check tv mwezi mzima?
 
Kwa wale wapenzi wa TV stations, tumia internet TV kupata free TV stations buree, iNGIA google, Type TVU, ITAKULETEA download TVU software. Download then run, furahia ulimwengu wa digitali. Ni cheap, kwa 20 kB UNAWEZA kuangalia TV 24 hrs.Ila kwa wale wenye ipod,iphone, na ipad utalipia small amount kupata apps from itunes stores. Full of movies, sports, news, cartoons, life styles, networks , sciences, etc. Enjoy your day
Jipange anza upya kuandika ulichotaka kusema, maana hapo hujasomeka "Ni cheap, kwa 20 kB UNAWEZA kuangalia TV 24 hrs." Hicho kitu hapo ndugu yangu.
 
20kB For 24hrs? This can't be true.. Na mashaka kama anafahamu tofauti iliyopo kati ya kb, MB, Gb...
 
Nime download na kujaribu....poa kiasi na haina ku stuck.......natumia Airtel kwa bundle ya 2500
Low quality, but due it's free it worth watching
Nilikuwa na MB 225 nikaangalia kwa dakika 3......salio MB 215
 
Vp tunaotumia simu za Symbian S60?? Hiyo 20kb mhhh! hebu fafanua.... Naona kama umekosea ku-type, ikizingatiwa paulss alivyochangia
 
Nilikuwa na MB 225 nikaangalia kwa dakika 3......salio MB 215

hapa sawa, huyu HeadTeacher haelewi anachoongea, natoa mfano calling skype to skype ni bure lakini unapopiga simu unalipia gharama ya internet, kwa hiyo ukiwa na mb zako 400 unaweza kuongea hata one hour or more, si kwamba skype ndio wanakucharge noo ila ni connection.

sasa nilikua sielewi huyu bwana anaposema ukiwa 20kb unatizama tv 24 hrs, issue sio huo mtandao au hiyo application issue ni connectivity, angeniambia nafanyaje ili airtel wasile hiyo bundle ndio ingemake sense
 
aliyejiunga aicheki hiyo muvi katika chanel ya hollywood movie, ni noma, we acha tu kulala saa tisa alfajili kesho
 
Back
Top Bottom