Kwana maandazi yanakuwa yamepoa.Ni wazo zuri mkuu lakini, katika utekelezaji biashara ni ngumu sana tena ngumu kwelikweli mkuu, kuna mambo mengi sana yanatokea hapo katikati yanaweza kufanya biashara ikafa mfano hata wewe nikuulize unaweza nunua maandazi ya kutembeza kwa mtu ambaye haumjui?
Jibu ni hapana na wengi sikuhizi wanauzia maandazi nje ya nyumba zao mtaani wanakaanga kabisa yanakuwa yamoto je yakutembeza siku nzima yatanunulika?
Hii biashar ya production ngumu sana mimi na jamaa yangu tulianza production ya peanut tunapack pia na production ya liquid chocolate mfano wa nuteller, ila changamoto tulizokutana nazo ilinibidi niwaze upya. Hapa niko hatua za mwisho nihamie kwenye sembe walau nina uzoefu na huko maana naweza changanyikiwa bureKwana maandazi yanakuwa yamepoa.
Raha ya maandazi ununue ya moto moto yametoka dukani.
Halafu hakuna biashara ngumu kama ya production.
Ninafanya biashara hiyo aiseee ni stress mno.
Leo una mipesa hata faida ya 70,000 unalaza.
Kesho hata mauzo ya 20,000 hakuna.
Hapo nimeongelea faida na mauzo kumbuka.
Ni stress sana.
Acha kabisa.Hii biashar ya production ngumu sana mimi na jamaa yangu tulianza production ya peanut tunapack pia na production ya liquid chocolate mfano wa nuteller, ila changamoto tulizokutana nazo ilinibidi niwaze upya. Hapa niko hatua za mwisho nihamie kwenye sembe walau nina uzoefu na huko maana naweza changanyikiwa bure
Rafiki punguza uroho.Mmenifanya niyakumbuke maandazi ya nazi na hiliki kwa chai ya tangawizi,
Daaah!
Brother unamiliki vitegauchumi gani hapa mjini?Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3.
Hapo akiuza yote itapatikana faida ya 6000 utampa 3000 na 3000 yako. Imagine una vijana 10 tayari una 30000 kwa siku unampita hata aliyeajiriwa ofisini na 300k zao kwa mwezi 1
Akili kichwani mwako kama utataka wazo lengine usijali kuja PM
Hahahaha nitapunguzaje wakati huu uzi nausikia tu una harufu ya maandazi maandazi.Rafiki punguza uroho.
Kwa nini boss?Huyu mleta uzi anastahili kukamatwa nakuzibuliwa makofi kisha afungwe jiwe zito kifuani tukamtupe katikati ya bahari
😅😅😅maana alivyoandika simpo tuuFanyeni kumsamehe mleta mada kamaliza mthiani wa kidato cha sita juzi tuu
Hapo hakuna kidato...huyo ni la saba BFanyeni kumsamehe mleta mada kamaliza mthiani wa kidato cha sita juzi tuu