Pata design ya nyumba na gharama zake

Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Members, there is a great news that I can design residential houses as well as commercial buildings at a reasonable cost as well as Quality assuarance.
Contacts:nyenze1@yahoo.com
 
Members, there is a great news that I can design residential houses as well as commercial buildings at a reasonable cost as well as Quality assuarance.
Contacts:nyenze1@yahoo.com

Nahitaji design ya residential house, unachaji vipi tufanye biashara??
 
Mkuu ungeweka namba ya simu kidogo ungerahisisha mawasiliano maana naamini simu ni njia rahisi ya kusaidia kufanya maamuzi ya haraka
 
members, there is a great news that i can design residential houses as well as commercial buildings at a reasonable cost as well as quality assuarance.
Contacts:nyenze1@yahoo.com

naomna sasa biashara matangazooo
 
Architecture= arch-torture=minimum of 5 years at the college/university followed by practical trainning for 2 yrs then oral and written exams then registration = sleepless studio nights in 5yrs= very expensive n tiresome profession= buildings doctors who lives with their mistakes as long as their designed buildings lives on unlike doctors who berries their mistakes n forget immediately after the funerals= one cant pay a fair fee for creativity n skillz of a real n competent architect= a service oriented business= not for advertisements as architecture business is bound to very serious codes of conducts and ethics=not for vishokas and kanjanja's=ni maoni yangu tuu juu ya hii architecture kama mdau mmojawapo
 
Bachelor of Science in Building Economics (Quantity Surveying) ARU

Kwa sifa yako ya elimu wewe ni mkadiriaji majengo zaidi kuliko mbunifu majengo, pamoja na kwamba hilo somo la ubunifu unalisoma kwenye program yako ya QS. Kwa hiyo kwenye elimu ya ubunifu hata kama unaweza kubuni (design) bado hujawa architect. Labda utueleze kwamba ulifanya FTC katika architectural engineering/technology, then hapo nitakukubali au unasemaje Ellie? Sijadharau elimu yako ila najaribu kuweka sawa tofauti ya hizi taaluma zinazohusiana na mambo ya ujenzi.

Mimi nikitaka mchoro wa nyumba naenda kwa mbunifu majengo, nikishapata mchoro wangu ndo naenda kwa QS. Ila kama Architech pia ni QS hapo poa zaidi maana kuna watu wamesoma taaluma zote kwa nyakati tofauti na hiyo inawapa sifa za ziada katika weledi.
 
Nyumba kama hii shingapi kuchora ramani?

Modern-Home-Design-Side.jpg
 
Wakuu wote hapo juu !
Kama unahitaj madirisha na milango,
-na interior items kama mapanzia ,
- wood flooring nkz.. Ni PM

Am like interior designer, and i want to learn how to scatch a house interior... plz help me!
 
Back
Top Bottom