Pata browser mpya faster kwa android

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Wengi tumeizoea Opera mini lakini sasa watumiaji wa simu au tablets zinazotumia Android wanaweza ku download browser mpya, faster kuliko opera. Inaitwa Next. Imeundwa na wale wale wataalam waliokuletea Go Launcher. Ni nzuri sana hasa kwa sababu ina flash player. Enable in settings. Na pia interface. Yake ni very. Clean
 
kiongozi inashinda dolphin?me naikubali sana dolphin maana ni nyepesi sana na ipo faster.
 
salito, mi naona inashinda Dolphin, ila haijafikia opera mini kwa ubora na kasi.
 
Last edited by a moderator:
Kako poa sana, huwa nakatumia sana kuliko hata opera mini, hila kuna kengine kanahitwa MAXTHON nako kazuri kama NEXT
 
kiongozi inashinda dolphin?me naikubali sana dolphin maana ni nyepesi sana na ipo faster.

nimeitest kuanzia jana ipo poa kweli kushinda dolphin,ila opera mini sijawahi kuijaribu kwani na yenyewe ipo vizuri sana?kama hii next?
 
mkuu operamini inafanananishika na ucweb na browser nyengine ambazo zinatumia proxy kucompress data. unapofananisha opera mini na dolphin, chrome au firefox unakosea.

kama unataka kufananisha chukua opera next ambayo inatumia webkit kama browser nyengine za android hapo ndo utafanya comparison nzuri
 
nimetumia browser za aina tofautitofauti, lakini mwisho wa siku huwa narudi Operamini.!!
 
Wengi tumeizoea Opera mini lakini sasa watumiaji wa simu au tablets zinazotumia Android wanaweza ku download browser mpya, faster kuliko opera. Inaitwa Next. Imeundwa na wale wale wataalam waliokuletea Go Launcher. Ni nzuri sana hasa kwa sababu ina flash player. Enable in settings. Na pia interface. Yake ni very. Clean

Dah!!! Nimeitest next browser ni balaa aisee...Dolphin ishapigwa nje.
 
nashindwa kuicha opera kwenye simu. yaani yoka nokia symbian hadi leo bado najikuta ndio default browser. nadhani ni mazoea tu lkn ki ukwel8 browser zingine zime improve sana.
 
nimeinstal lkn inashndwa kupiga kaz ni kama haijakonectika kwny net, ila Opera inapiga mzga
 
mkuu operamini inafanananishika na ucweb na browser nyengine ambazo zinatumia proxy kucompress data. unapofananisha opera mini na dolphin, chrome au firefox unakosea.

kama unataka kufananisha chukua opera next ambayo inatumia webkit kama browser nyengine za android hapo ndo utafanya comparison nzuri
Mkuu browser ipi ni nzuri kwa suffer katika net maana uc naituma kupakulia ma file sasa ku surf net ni ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom