Pat Shange na nyimbo zake za Sweet Mama na I surrender amenitoa machozi usiku huu

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,036
2,000
Hizo nyimbo na nyingine kama za Yvonne Chaka Chaka, Sipho Mabhuse nk huwa hazichuji.
Pitia wimbo wa Zanzibar wa Sipho Mabhuse au ule wimbo wake wa Burnt out...pia Thank you Mr DJ wa Yvonne...na nyingi zingine za zamani SOUTH AFRICAN GOLDIES.
Ni moto wa kuotea very far kwani they have very sweetness isiyochuja.
 
Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,589
2,000
Asante sana youtube. Nimezitafuta sana hizi nyimbo na jina la mtunzi na muimbaji. Nilikuwa nazisikia sana redio Tanzania na redio wani nikiwa mdogo na kijana.

Ila usiku huu by chance nimezipata youtube. Nakujua mtunzi wake anaitwa Pat Shange msauz Afrika na nyimbo hizo ni Sweet Mama na i surrender.

Inanikumbusha mbali sana nikiwa mdogo na kijana sasa hivi am 37.

Vijana wa zamani lazima mtakuwa mnazijua hizi nyimbo.

Tuburudike

Anytime baby - Pat Shange - YouTube

Pat Shange - Sweet Mama - YouTube
Pole kwa Kuchelewa kumfahamu Pat Shange
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,008

Dah..! Asante sana... You have made my morning... Natamani jana irudi.... Memories die hard... Fainali uzeeni...
IMG_20180412_065407_216.jpg
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,008
2,000
Hizo nyimbo na nyingine kama za Yvonne Chaka Chaka, Sipho Mabhuse nk huwa hazichuji.
Pitia wimbo wa Zanzibar wa Sipho Mabhuse au ule wimbo wake wa Burnt out...pia Thank you Mr DJ wa Yvonne...na nyingi zingine za zamani SOUTH AFRICAN GOLDIES.
Ni moto wa kuotea very far kwani they have very sweetness isiyochuja.
From me to you.... Yvonne! Na kuna yale makundi mawili Makhotela Queens na Dialom Kids!
Platform 1 na platform 2.....
Fantasy.... Black box

Dear God.. Mungu baba wa Rehema can you turn back the time for a while!?
IMG_20180331_092005_353.jpg
 
sometimesyes

JF-Expert Member
Dec 5, 2017
296
250
Asante sana youtube. Nimezitafuta sana hizi nyimbo na jina la mtunzi na muimbaji. Nilikuwa nazisikia sana redio Tanzania na redio wani nikiwa mdogo na kijana.

Ila usiku huu by chance nimezipata youtube. Nakujua mtunzi wake anaitwa Pat Shange msauz Afrika na nyimbo hizo ni Sweet Mama na i surrender.

Inanikumbusha mbali sana nikiwa mdogo na kijana sasa hivi am 37.

Vijana wa zamani lazima mtakuwa mnazijua hizi nyimbo.

Tuburudike

Anytime baby - Pat Shange - YouTube

Pat Shange - Sweet Mama - YouTube
Bro we r the same age,hizi nyimbo bi mkubwa(RIP) alikua anasikiliza wkt anajiandaa kwenda job na mm ananiandaa kwenda shule,nnazo na nikickiliza namkumbuka ni mkubwa.
 
kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
562
1,000
Sikilizen na Casanova pia ya Pat Shange ..... kweli maisha haya,uwa nataman ningekuwa DJ nipewe kipind redion niwe napiga hz ngoma za zaman za wahenga.Those days music was music,yani unasikiliza mzik had unaona kabisa roho yako imetulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom