Pastor Shepherd Bushiri, wife arrested for 'fraud & money laundering'

Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi,/ muumba mbingu na dunia./ Na kwa Yesu Kristu, Mwanaye wa pekee, Bwana wetu;/ aliyetungwa na Roho Mtakatifu,/ akazaliwa na Bikira Maria,/ akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato,/ akasulubiwa, akafa, akazikwa,/ akashukia kuzimu;/ siku ya tatu akafufuka katika wafu;/ akapaa mbinguni;/ amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi;/ toka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu,/ Kanisa takatifu katoliki,/ ushirika wa Watakatifu,/ maondoleo ya dhambi,/ ufufuko wa miili,/ uzima wa milele. Amina.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu pastor ni proffesional forex trader na ana vitabu vyake kabisa kuhusu iyo biashara labda kama anatusua kupitia uko....
Lakini pia akili za kuambiwa unachanganya na zako kutapeliwa kifala fala kabisa kunauma sana
Kumuona uyo na ela, sijui 15,000 rand au 1500..
Alafu kwa south anapiga sana hela.maana wasouth japo wana mambo ya ajabu sana pia ni watu wanaopenda sana kuabudu

Yani ukiwa prophet mwenye uwezo wa kutabiri yajayo umetoka..yani wasouth huwa hawafanyi jambo bila kulipeleka kwa nabii au mganga...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom