Utapeli wake uko wapi?Matapeli katika ubora wao.
Mkuu wa Africa tuna Spirit ya umaskini Sana, jamaa katajirika kwa biashara ya FOREX, sasa kutuma pesa kwao Malawi ni fraud?Wametapeli nini?
Anafanya biashara ya Forex Mkuu,Utajiri alionao yeye kama kiongozi wa dini anafanya biashara gani?
mbona watu mna upeo kidogo Sana,? Alinunua Jet ili aitumie kwa kazi ya Mungundo utapeli huo anasema watu wamtolee mungu halafu ananunua jet
wewe mkristo? km y7esu angekuwa anawahimiza wafuasi wake wamtolee Mungu then hizo mali angekuwa anazfnta za kwake angekuwa tajiri kiasi gan? hawa wachungaji wa leo wanaojilimbikizia mali kutoka kwa waumini wao wanafuata mfano wa yesu yupi maana yesu hakuwa hvyo, ni nabii gani ambaye aliwahi kutajirika na kwa kukusanya mali za wafuasi wake? ww unasema tumtolee mungu bt mwsho wa siku ww ndio unakua bilionea je unaweza kueleza ni kivp waliotoa walimtolea mungu km si uongo, ona sasa anakamatwa kufny fraudNinabishana au naelewesha?? Kwanza sema interest zako ni nini?? Wewe ni mkristo? Unaijua sawa imani yako au umeshikishwa tu wala hujui hata ulicho amini??
Kama wewe ni mkristo, Unaamini neno la Mungu?? Nataka unipe mifano ya kibiblia sio mifano ya bibi. Naomba nirudie tena hapa wazi wazi.
Mimi si mfuasi wa Bushiri wala sio shabiki wake ila nakuusia; Mwache atumie mali yake kama apendavyo. Ingelikuwa ni rahisi kuingia na kufanikiwa ka yeye, nadhani usingeliyanene uliyo nena. Kwetu wanasema; Mbichi hizo sizitaki, kumbe moyo unauma kwa kutamani
hahahaa kwahio nyie mnaomtajirisha huyo jamaa ndo mna upeo mkubwa? yaan nyie mnawaamin hao kuliko ht mnavyomwamini yesu mwnyw, hawa kina kibwetere wamewashika pabaya sana aiseembona watu mna upeo kidogo Sana,? Alinunua Jet ili aitumie kwa kazi ya Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamhukumu kwa sababu yeye ni mwafrika au?? Umeshawahi kumsikia Prophet Lukaku?? Unajua ukwasi alionao?? Somo lako ati kwa nini atumie mali zake anunulie magari na madege sidhani ka unamfanyia mema. Kwa nini umwambie alichokipata asikitumie atakavyo??
Sasa ndugu yangu nikuulize hivi:
Kwani wewe unaelewaje kuhusu neno “ Tapeli”?
Labda tuanzie hapo!
Fahamu kuwa tapeli hanyang’anyi kwa mabavu kama jambazi la hasha!
Tapeli ni mtu anaekuja kwa mtu kwa kutumia lugha laiiini na tamu kwa kutumia maneno mazuri yenye kuonesha nia njema ya kutaka kumsaidia mtu, lakini moyoni mwake au nyuma yake kunakuwa na hila
Tapeli kwa maneno mengine ni “Laghai”
Waafrica wengi ni maskini wa kutupa !
Kwa nini Pastor atumie sadaka kwenye mambo ya anasa kama hayo ya kununua ndege na Magari ya thamani kubwa?
Ilihali waumini wake wamefulia?
Waumini wamechoka kuliko maelezo !
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina moyo wa kubishana ila ungetaka kuelewa ungeelewa. Yesu hakuhitaji mali kwani zilikuwa ni zake. Tena alijua zilipo. Unakumbuka alipoulizwa kodi alimtuma wapi Petro kuichukua hiyo kodi??wewe mkristo? km y7esu angekuwa anawahimiza wafuasi wake wamtolee Mungu then hizo mali angekuwa anazfnta za kwake angekuwa tajiri kiasi gan? hawa wachungaji wa leo wanaojilimbikizia mali kutoka kwa waumini wao wanafuata mfano wa yesu yupi maana yesu hakuwa hvyo, ni nabii gani ambaye aliwahi kutajirika na kwa kukusanya mali za wafuasi wake? ww unasema tumtolee mungu bt mwsho wa siku ww ndio unakua bilionea je unaweza kueleza ni kivp waliotoa walimtolea mungu km si uongo, ona sasa anakamatwa kufny fraud
Nimecheka sana Mkuu. Niliwahi kupelekwa hapo wakati fulani na moja ya mtu wangu wakaribu. Siku ya kwanza nikawa sielewi na yeye akawa ananiambia utaelewa tu. Hapa ni pazuri sana. Nikasema ok. Ila hata miezi miwili haikupita niliacha. Naona ibada ya kibinadamu zaidi na siyo ki Mungu.. tunamtukuza sijui g(G) wa Major one ambaye simjui ni Mungu au mungu yupi. Wakianza kumnyenyekea huyo kiongozi wao sasa... nilikuwa nachoka rohoni.Mi mwenyew nilipelekwa hapo,niliyoyashuhudia daah,..pastor wao ambae ndo kama muwakilish wa huyo bushir dar,yaan ni msela flan,akawa anapiga stor zake za kufanya biashara ya madini,stor nyingiii kama dalali...af anaongea fasta balaa,mara akaanza kutabiria watu,...yaan wanamuita dadii et..wanampigia magoti yan kuongea nae..hyo kwaya imejaa madem wa hatar,wamepiga vimini vya kufa mtu...nje magar ya kifahar yamejaa,nkasema daah,..af waumin weng ni madem
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu,anapokea anapeleka kwa mungu sasa CAG wao kasema hapeleki au mungu wao amelalamika mafao hayaendi ndio maana wameamua kumpatia cheo cha utapeli!
Mkuu hebu nisaidie,Je wametapeliwa nini?
sawa mkuu hamna haja ya kugombana kisa tuna mitazamo tofautiSina moyo wa kubishana ila ungetaka kuelewa ungeelewa. Yesu hakuhitaji mali kwani zilikuwa ni zake. Tena alijua zilipo. Unakumbuka alipoulizwa kodi alimtuma wapi Petro kuichukua hiyo kodi??
Nasema hivi;
Yule ni mtumishi wa Mungu wake. Mwambieni tajiri wake yaani aliye muajiri amshughulikie.
Halafu si ajabu hata hujawahi kumwona huyo Bushiri ka mimi. Wala sina haja ya kwenda kumwona pia.sawa mkuu hamna haja ya kugombana kisa tuna mitazamo tofauti
Msimuite "Pastor". Yeye na wao wanamuita PROPHET. Hatari sana haya mamboYaani ukiwaona wafuasi wao wanavyowatukuza, kumbe matapeli. Inasikitisha.
Anguko lao huja kwa haraka....JOHANNESBURG Controversial church leader Shepherd Bushiri has been arrested.
A statement from the church says he and his wife Mary were arrested by the Hawks on fraud and money laundering charges.
"As you will remember, from last year, we have struggled with reports that our father was guilty. He has been detained and is being questioned by the Hawks in Silverton, Pretoria."
Bushiri spokesperson Maynard Manyowa says: “Police came in the morning to the hotel, picked them up, saying they wanted to talk to them. They wouldn’t tell us exactly why or how. They didn’t take them to as police station, but they took them to the headquarters of the Hawks.”
Early last year, reports emerged that Bushiri was sending about R15 million a month to his birth country Malawi.
It was said the money was transported out of South Africa to Malawi in the pastor’s private jet and a few vehicles.
CRL COMMISSION
Earlier on Friday, the CRL Rights Commission found that the controversial church leader was not responsible for the stampede at his Pretoria church where three people died, saying that the church fully complied with safety regulations.
After a two-day hearing this week into the tragedy, the commission said after due consideration, it found that the church was granted a compliance certificate prior to the service in December last year.
Seventeen other people were injured as they scrambled for cover during a thunderstorm at Bushiri's popular Enlightened Christian Gathering Church.
Halafu si ajabu hata hujawahi kumwona huyo Bushiri ka mimi. Wala sina haja ya kwenda kumwona pia.
Soma nilichoandika nimesema sijawahi kumuona wala sina shida ya kumuona. Kwisha.Tulia mkuu Nenda kampigie magoti yule msela Bushir huku ukimuita eti 'dadiiiiiiiiiiiiiiii',hahah
Sent from my iPhone using JamiiForums