Pastor Shepherd Bushiri, wife arrested for 'fraud & money laundering'

Ila na Watu nao wanapenda kutapeliwa, ukijiita tu Nabii basi, unapiga pesa za kutosha na hukatwi hata kodi.
 
Hiyo ABC news yako ulo iona leo asubuhi. wamekili walikosea kutoa taarifa.na wameomba radhi.na Bushiri anataka kuwashitaki ila Lawyer wake bado anapinga kufungua kesi.hata hivo hawatakiwi kum =sue ugenini. kwa sheria za SADAC.

Mbona amerudishwa Rumande hadi Jumatano na Waumini wake walikuwa wamejazana nnje ya Mahakama wanaimba?
 
Hata mm wife alikua anasali huko.siku nilipoenda hapo niliyoyakuta nikamwambia wife hili si kanisa.nashukuru mwisho wa siku alikuja kujua ukweli mpaka leo hataki kwenda
Mi mwenyew nilipelekwa hapo,niliyoyashuhudia daah,..pastor wao ambae ndo kama muwakilish wa huyo bushir dar,yaan ni msela flan,akawa anapiga stor zake za kufanya biashara ya madini,stor nyingiii kama dalali...af anaongea fasta balaa,mara akaanza kutabiria watu,...yaan wanamuita dadii et..wanampigia magoti yan kuongea nae..hyo kwaya imejaa madem wa hatar,wamepiga vimini vya kufa mtu...nje magar ya kifahar yamejaa,nkasema daah,..af waumin weng ni madem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niikuta mademu wamepiga skin jeans hatari.waimbaji wamevaa full linen white mademu wapo kama wanaenda ktk show.nikasema hapa hapafai kusali.
 
Mbona amerudishwa Rumande hadi Jumatano na Waumini wake walikuwa wamejazana nnje ya Mahakama wanaimba?

Hahah ni kama kipindi kile waumini wa Gwajima pale Central alivyodakwa kwa ile inshu ya madawa ya kulevya,waumini walikesha wakiimba pale.

Magu akauliza hivi inawezekanaje waumini kwenda kuimba pale Police lkn jeshini hawawezi kwenda kuimba hahah.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom