TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Inaonekana alipatwa na tatizo la kupumua lakini alijitibu vizuri tu changamoto ikawa kisukari kinapanda nadhani ili gonga 27.

Sasa akiwa anajifukiza tu na Kula malimao kumbe hku sukari inammaliza tu yye akijua ni ''pneumonia'' ndio inamsumbua.

Anyway nadhani ilikua siku yake Mungu amepanga. May his soul rest in eternal peace

Inasikitisha Sana kwa kweli.
 
Mie sukari imewahi kupanda hadi 32.3 yaani ilikuwa bado point saba mashine ishindwe kusoma lakini hapa nakuambia nimepona kabisaa na sina hiyo sukari
 
Aiseee! uliwezaje kupona hilo tatizo? Au ni muujiza tu ulikupata?
 
Back
Top Bottom