Password zanini wakati tunaishi wawili?

sepema

JF-Expert Member
Jun 13, 2019
591
1,000
Huku kijijini Rondo nibaridi bado.

Ngoja niandike haraka asinione.
Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu.

Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu yake huwa sishiki japo alikuwa anaicha bila password.
(Hapa niwe mkweli kdg, nilikuwa namvizia akienda kuoga naipitia chaap japo yeye hajui).

Sasa leo kaenda kuoga nimeenda chapu kuikagua nimekuta imepigwa makufuli yakutosha.
Nimeshindwa kumuuliza cz anajua huwa sishiki sim yake ila ukweli nikwamba nimeumia sana.

Sasa najiuliza tunaishi wawili hapa nyumbani, password zanini?

Wasalaam!
 
Wanaume bwana!

Wanawake hatuwawezi. Ni kuishi nao kwa akili vinginevyo ni siteresi tupu mwisho ni kujiletea presha na mashambulizi ya moyo na kiharusi bila sababu.

Kama unaendesha familia yako kidikteta mwamrishe atoe password zote mara moja bila mjadala wala kuhoji. Ila kama kuna demokrasia jiandae na wewe kutoa password zako ukiombwa kufanya hivyo.

In short kaeni muongee kwa nini mnahitaji kuwa na password kwenye simu zenu. Kama mmoja tu ndiye anapaswa kufanya hivyo na kwa nini ieleweke. Sasa hivi upo hoi unadhani kuwa unachapiwa wakati mwenyewe ndo ulianzisha huo utopolo!
 
Kuendesha familia kidikteta raha sana 😂 imagine me sm yng ina password ila wife hazijui na anatakazijue kila siku mpk siku nyengine inakua ugomvi ndan 😂 na yake ina password ila zake nazijua but sipendi kufuatilia cm yake labda siku mmoja mmoja san yaaan ata ivo alinipa nimuekeee fingerprint na me nikaweka kidole chang bila ya yeye kujua mpk leo hajui so ata akibadili password natoa kwa fingerprint inatoka 😂
 
huwa nashangaa kwa kweli, mtu anakujua mwili wako wote ndani na nje, kujamba, kuvibewa kukoroma, kutupa shuka kunuka mdomo hasa watumiani wa maji ya dhahabu, yaani mtu ambae hata unaweza kunya mbele yake huku mnaoga.. lakini ikifika kwenye simu, unaweka ulizi mkali kuliko hata wa kujikinga na korona...
ukweli mimi maisha yangu na mtu niliyenaye tukifikia hapo ni bora tuachane tu. maana huwezi niamini vyote halafu simu usiniamini
 
na wewe umeweka password ya nini?
Mimi simu yangu ina password mpaka kwenye setting isipokuwa hiyo password anaijua baba chanja ni vyema kuprotect baadhi ya files like certificates and pictures
 
Huku kijijini Rondo nibaridi bado.

Ngoja niandike haraka asinione.
Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu.

Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu yake huwa sishiki japo alikuwa anaicha bila password.
(Hapa niwe mkweli kdg, nilikuwa namvizia akienda kuoga naipitia chaap japo yeye hajui).

Sasa leo kaenda kuoga nimeenda chapu kuikagua nimekuta imepigwa makufuli yakutosha.
Nimeshindwa kumuuliza cz anajua huwa sishiki sim yake ila ukweli nikwamba nimeumia sana.

Sasa najiuliza tunaishi wawili hapa nyumbani, password zanini?

Wasalaam!
mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu mchungu
 
Mwanamke hata akiishi mwenyewe simu ina kofuli, hiyo ni taa ya tahadhari endesha kwa kufuata alama au ishara za barabarani gari inakata kushoto mkuu. Changanya na zako.
 
Wanaume bwana!

Wanawake hatuwawezi. Ni kuishi nao kwa akili vinginevyo ni siteresi tupu mwisho ni kujiletea presha na mashambulizi ya moyo na kiharusi bila sababu.

Kama unaendesha familia yako kidikteta mwamrishe atoe password zote mara moja bila mjadala wala kuhoji. Ila kama kuna demokrasia jiandae na wewe kutoa password zako ukiombwa kufanya hivyo.

In short kaeni muongee kwa nini mnahitaji kuwa na password kwenye simu zenu. Kama mmoja tu ndiye anapaswa kufanya hivyo na kwa nini ieleweke. Sasa hivi upo hoi unadhani kuwa unachapiwa wakati mwenyewe ndo ulianzisha huo utopolo!
Yaan nawaz kwel mkuu
 
Huku kijijini Rondo nibaridi bado.

Ngoja niandike haraka asinione.
Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu.

Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu yake huwa sishiki japo alikuwa anaicha bila password.
(Hapa niwe mkweli kdg, nilikuwa namvizia akienda kuoga naipitia chaap japo yeye hajui).

Sasa leo kaenda kuoga nimeenda chapu kuikagua nimekuta imepigwa makufuli yakutosha.
Nimeshindwa kumuuliza cz anajua huwa sishiki sim yake ila ukweli nikwamba nimeumia sana.

Sasa najiuliza tunaishi wawili hapa nyumbani, password zanini?

Wasalaam!
Nyuli au nywele?
 
Kuendesha familia kidikteta raha sana imagine me sm yng ina password ila wife hazijui na anatakazijue kila siku mpk siku nyengine inakua ugomvi ndan na yake ina password ila zake nazijua but sipendi kufuatilia cm yake labda siku mmoja mmoja san yaaan ata ivo alinipa nimuekeee fingerprint na me nikaweka kidole chang bila ya yeye kujua mpk leo hajui so ata akibadili password natoa kwa fingerprint inatoka
Mfumo dume ndio wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom