sepema
JF-Expert Member
- Jun 13, 2019
- 591
- 1,000
Huku kijijini Rondo nibaridi bado.
Ngoja niandike haraka asinione.
Hapa nyumban tunaishi wawili mimi na mke wangu.
Alikuwa na tabia yakukagua sana simu yangu nikaamua kuipiga password. Mimi simu yake huwa sishiki japo alikuwa anaicha bila password.
(Hapa niwe mkweli kdg, nilikuwa namvizia akienda kuoga naipitia chaap japo yeye hajui).
Sasa leo kaenda kuoga nimeenda chapu kuikagua nimekuta imepigwa makufuli yakutosha.
Nimeshindwa kumuuliza cz anajua huwa sishiki sim yake ila ukweli nikwamba nimeumia sana.
Sasa najiuliza tunaishi wawili hapa nyumbani, password zanini?
Wasalaam!