BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Habari JF!
Mwaka jana hivi nili-create user name yenye password (via user account) ambapo kila nilipokuwa nikiwasha laptop niliingia kwa kutumia password..
Tatizo ni kwamba nimesahau hiyo password, japo niliweka password hint lakini nimeshindwa pia kuikumbuka..Nikisema nibadili/kuitoa password kuna ujumbe napewa kuwa nitapoteza files zangu ndani ya hiyo user name..
Je nifanyaje wanaIT? mana nimekwama na siwezi ku-access hiyo account yangu..Any alternative?
Many thanks!..