Kwanza kabisa, Una URAIA wa nchi gani!???Habari za mchana wapendwa?.. Nahitaj kusafiri KWENDA Nairobi kwa muda wa siku 2-4 lakn sina passport ya kuingia huko anayejua utaratibu na gharama zake msaada tafadhali..
Swali la msingiKwanza kabisa, Una URAIA wa nchi gani!???
Eeeh Dada...asije akawa mhamiaji haramu tunatiririka kumpa mbinu na taratibu za kuibaka nchi na taratibu zetu.Swali la msingi
Kweli kabisa. Unaweza kukuta ni mwenyeji wa EritreaEeeh Dada...asije akawa mhamiaji haramu tunatiririka kumpa mbinu na taratibu za kuibaka nchi na taratibu zetu.
Total expenses roughly andaa elfu hamsini maximum, hapo napigia hesabu
temporary passport ni 10,000
afidavity ya mzazi utatoa 10,000 kwa mwanasheria
ku~certify kopi za vitambulisho vyako 5,000
mtendaji utampa 2,000 ya mhuri
picha za passport 8,000 (bei inabadilika kulingana na studio na eneo ulilopo)
ukieka na hela za ww kuzungukia hio kitu (nauli za daladala na maji ya kunywa) 5000
*10,000 unakuwa nayo kwa dharura kama kutoa photocopy n.k
Ikiwa unahitaji passport kubwa andaa roughly elfu tisini.
~hapo nmeeka gharama za kihalali pasipo rushwa wala udalali, unajihangaikia mwenyewe kila kitu. Ukitaka mteremko ukae nyumbani uletewe basi zidisha gharama za hapo juu roughly mara mbili hv.
Ndio hiyo hiyo na zinapatikana kwenye ofisi za uhamiaji za wilayaElfu kumi (pia unatoa 5000/=kama hongo) nusu saa ushamalizana nao. Uwe na barua ya mtendaji anayokutambua kama mkaazi na mtanzania. Uwe na kumbukumbu za kuzaliwa kwa wazazi wako. Hiyo temporary siijui ninayofahamu ni hiyo ya kiasi nilichotaja na hu expire baada ya mwaka.
Ukija nipo River road nicheki (kwa nia njema kabisa)Habari za mchana wapendwa?.. Nahitaj kusafiri KWENDA Nairobi kwa muda wa siku 2-4 lakn sina passport ya kuingia huko anayejua utaratibu na gharama zake msaada tafadhali..
Sasa unapewa majibu ya ukweli kisha Povu linaanza kukutoka..ama kweli kuna watu mnahitaji kurudishwa shulefundichupi we siyo mtanzania, nimekufatilia majibu yako na mijadala, haujibu kitanzania
samahani kwa nitakaowakwaza......watanzania tunakuwa na majibu mepesi mno....rate ya illiteracy iko juu east africa na nchi za kusini mwa jangwa la sahara
Poapoa mkubwa wanguNdio hiyo hiyo na zinapatikana kwenye ofisi za uhamiaji za wilaya
Hesabu yako IPO sahihi kabisa. Nimewahi kuipata kwa kiasi hicho.Total expenses roughly andaa elfu hamsini maximum, hapo napigia hesabu
temporary passport ni 10,000
afidavity ya mzazi utatoa 10,000 kwa mwanasheria
ku~certify kopi za vitambulisho vyako 5,000
mtendaji utampa 2,000 ya mhuri
picha za passport 8,000 (bei inabadilika kulingana na studio na eneo ulilopo)
ukieka na hela za ww kuzungukia hio kitu (nauli za daladala na maji ya kunywa) 5000
*10,000 unakuwa nayo kwa dharura kama kutoa photocopy n.k
Ikiwa unahitaji passport kubwa andaa roughly elfu tisini.
~hapo nmeeka gharama za kihalali pasipo rushwa wala udalali, unajihangaikia mwenyewe kila kitu. Ukitaka mteremko ukae nyumbani uletewe basi zidisha gharama za hapo juu roughly mara mbili hv.
Eeeeeh eeeeeeh .... Dear Mshana Jr tena!!!!!!!Thanks dear mshana jr nimekuelewa
Kama uko Dar Nenda tu Kinondoni na picha mbili za passport, uli umalize kidomodomo cha wahusika chukua na barua ya serekari za mitaa na kitambulisho cha mpiga kura au cha kazi .... sh. 10,000 kama sikosei unasubir hapo hapo... ni pale ilala bomaHabari za mchana wapendwa?.. Nahitaj kusafiri KWENDA Nairobi kwa muda wa siku 2-4 lakn sina passport ya kuingia huko anayejua utaratibu na gharama zake msaada tafadhali..
Asanteh sana nimekuelewaKama uko Dar Nenda tu Kinondoni na picha mbili za passport, uli umalize kidomodomo cha wahusika chukua na barua ya serekari za mitaa na kitambulisho cha mpiga kura au cha kazi .... sh. 10,000 kama sikosei unasubir hapo hapo... ni pale ilala boma