Passport ya Kenya na Tanzania zaorodheshwa namba 8 na 9 mtawalia kwenye Passport zenye nguvu zaidi barani Afrika

Ikaria

Member
Jul 17, 2019
71
195
Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index.

• Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika.

• Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha.

✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.

 
Watanzania twafahamika kwa upole na kutokuwa na fujo tuingiapo nchi za wenzetuu, pia baada ya safari za ugenini wengi wetu hurejea TZ na kutobaki ugaibuni

changamoto ni wale wanafanya shughuli zile za unga ndo wanashusha thamani ya mama Tanzania
 
Back
Top Bottom